Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Mkuu shida yenu mnataka unachofikiri wewe na jamii ingine iwe hivyo hivyo kwa sababu tunachotakiwa kuamini sasa hivi ni baada ya maisha haya ila mnataka kila mtu aamini kile wengi wanaamini na pia yeye mmoja anaweza kuwa sahihi kuliko ninyi wengi mnachoamini...Japo mkuu kuna mambo ukiyafikiria na kuyatafakari lazima useme mtu hayuko sahihi.
Mathalan wahindu Mungu wao ng'ombe aisee mnyama unayemfuga na kumtandika bakora anaweza kukupa maajabu gani!?
Hao hao wahindu wana Mungu wa kike anaitwa Goddess Malapini ila cha ajabu wanawanyanyapaa wanawake na kuwaita viumbe dhaifu.
Embu tafakari kwa fikra yakinifu utasema huyu mtu yuko sawa!?
Mungu sio mwanamkeNdio nashangaa namimi. Wakati hata ndani ya Qur'aan mwanamke kapewa hadhi ya juu sana hadi kapewa sura Suratul Maryam. Mtume Muhammad ( pbuh) kauliza na maswahaba wake " Tufanye nini ewe Mtume wa Allah ili tuweze kufika juu mbinguni.
Majibu ya Mtume;
1. Mpende Mama ako.
2. Mpende Mama ako.
3. Mpende Mama.ako.
Maana yake ni kwamba kwa mujibu wa mafundisho ya kiislamu pepo ya mwanadamu ipo kwa mama yake.
Kwa unyanyapaa anao anao uonyesha Dr.Sule dhidi ya wanawake kama angeishi enzi za Prophet basi angeungana na akina Abu Jahr kwa sababu angehoji inakuwaje Mwenyezi Mungu ameshusha aya inayo mtaja mwanamke ( Maryam) kwenye kitabu chake kitakatifu.
Ninachoamini mimi ni kwamba 'Mungu hana Jinsia' yeye ni 'Roho'Mungu hana udhaifu wa kuvuja hedhi kila mwezi na akili kama za paka za kudeka deka.
Mungu usimfananishe na kiumbe dhaifu.
Kiumbe ambacho ikitokea hatari hujificha nyuma ya mwanaume kujipa kinga.
Mungu ni provider,toka lini mwanamke akawa na sifa ya kuwa provider!?
Principle ileile mliozani wazee waliabudu miti, milima, mizimu la hashaJapo mkuu kuna mambo ukiyafikiria na kuyatafakari lazima useme mtu hayuko sahihi.
Mathalan wahindu Mungu wao ng'ombe aisee mnyama unayemfuga na kumtandika bakora anaweza kukupa maajabu gani!?
Hao hao wahindu wana Mungu wa kike anaitwa Goddess Malapini ila cha ajabu wanawanyanyapaa wanawake na kuwaita viumbe dhaifu.
Embu tafakari kwa fikra yakinifu utasema huyu mtu yuko sawa!?
Ujinga tu wa watu kujifanya kuwa karibu na Mungu na kujifanya wanajua kila kitu.Huu ugomvi wote huu wa nini, kwani kuna aliyekutana na Mungu akaiona jinsia yake?
Huujuhi uislamu na kwakuwa huupendi hutaki kujifunza hivyo unaelezea mambo kwa utashi wako au kupokea maelezo kutoka kwa watu wasiojua chochote, elewa tu dini ya kiislamu ni ya amani na si ya mihemko.Ila kumeza mabomu kujilipua kisa bikra zaniwa Hilo fresh ila njaa mnaiwekea mipaka
HahaaaHivi kwani kuwa mwanamke ni tusi kiasi kwamba kufananishwa naye ni dhambi?
Kuna vitu kama hamna uhakika navyo au kama mliwahi kuvisikia juu juu, muwe mnavifatilia kwanza kabla ya kuvileta hivi, sababu mnaandika uongo. Hakuna maneno ya Mtume ya hivi, nenda kasome tena.Hata Mtume Muhammad (pbuh) aliwahi kuulizwa na swahiba wake " nifanye nini ili niende mbinguni"
Majibu ya mtume yalikuwa :
1. Mpende mama ako.
2. Mpende mama ako.
3. Mpende mama ako.
Mtume hakusema " mpende Mungu wako" la hasha. Alisema " mpende mama ako"
Hujanielewa na mimi sipo huko.Mkuu shida yenu mnataka unachofikiri wewe na jamii ingine iwe hivyo hivyo kwa sababu tunachotakiwa kuamini sasa hivi ni baada ya maisha haya ila mnataka kila mtu aamini kile wengi wanaamini na pia yeye mmoja anaweza kuwa sahihi kuliko ninyi wengi mnachoamini...
So Dr. Sule na wote mnao mtukana hermonize stop being selfish. Acheni kutaka kila mtu akiamini kile mnacho kiamini nyinyi.
Kwa hiyo Hermonize yupo sahihi kabisa..
Still unaropoka.Ninachoamini mimi ni kwamba 'Mungu hana Jinsia' yeye ni 'Roho'
Lakini Harmonize aliposema Mungu anaweza kua mwanamke na akatoa points zake
Wewe na mimi hatuna sababu ya kumuona mkosefu kama huyo Shekhe alivyofanya
Tokea lini Roho ikawa na jinsia?
Biblia inasema tumeumbwa kwa mfano wa Mungu hivyo anaweza akawa ana jinsia ya kike au ya kiume
Kama unabisha kamlete Utuoneshe hiyo jinsia ya kiume aliyonayo
Kitu ambacho hakiwezekani
Mwisho wa siku utagundua hivi vitu ni vitu vya Nadharia, kila mtu abaki na anachokiamini sababu ushahidi hatuna zaidi ya maandiko ambayo yaliandikwa na wanadamu kama sisi
Rudisha mshipa nyuma urelax...!
Harmonize alisha ukana uislamu kwa vitendo tangu alipo ingia kwenye kazi ya muziki kwa sababu kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu muziki ni haramu kama ilivyo nyama ya nguruwe .
Tukichambua dini zote utaona hazipo sawa Mkuu ndio maana mimi naishia kusema mtu anachoamini tumuache aamini hivyo tu..Hujanielewa na mimi sipo huko.
Unajua kuna kitu kinaitwa dhamiri.
Dhamiri ya kawaida ya binadamu unaweza kweli kusadikisha ng'ombe ni Mungu ama ng'ombe ana uwezo na miujiza!?
Serious kabisa ng'ombe ambae kumlisha mpaka umpeleke malishoni huku unamchapa bakora!?
Zanzibar wanaliwa sana nguruwe.. kwenye mahoteli ya kitalii.. .. sasa huko mitaani tufahamishe mwenzetu unayeishi huko..ni maeneo gani labda? Ukitoa kitope kwa masista .. ?Umejibu vizuri ndicho nilichokuwa nataka ,kikubwa kusafisha kinywa vizuri
Na taratibu hizo ,zinafanya Zanzibar nguruwe kuliwa sana haiwezekani wakristu pekee iwe vile
Siwezi bishana na wewe au kukubaliana na wewe nipo katikati.Tukichambua dini zote utaona hazipo sawa Mkuu ndio maana mimi naishia kusema mtu anachoamini tumuache aamini hivyo tu..
Kabisa!.. ..Zanzibar wakristo wengi sana tofauti na unavyofikiria. Plus wageni watalii, Zanzibar mahoteli ni mengi sana. Hata hio pombe nayo inauzika sana nowadays kwa sababu ya wageni watalii na watu kutoka bara