Dkt. Sule, kwa suala la Harmonize, wewe ndo haupo sahihi. Harmonize yupo sahihi kushinda wewe

Siwezi bishana na wewe au kukubaliana na wewe nipo katikati.
Ila sio kwa imani za kumuabudu mnyama aisee.
Sasa mbona sisi dini zetu tumeletewa hizi mimi Babu yangu ananiambia kabisa mpaka mazingira yaliyomfanya awe dini hii ukimuuliza ina maana Baba yako alikua hana dini hizi za kigeni anakubali ndio wao walikua wanaabudu kwenye miti na Mti wakiuchagua hautakatwa kabisaa...kwa hiyo ukiwauliza Wazee watakupa majibu ndio maana mimi sipo kuwapinga watu..
 
Mwanadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu 'Mwanzo 1:26'
Mwanadamu anaweza kua mwanamke au mwanaume

Anayepinga kauli ya Harmonize aende akamlete Mungu na atudhibitishie kua ana jinsia ya Kiume
Tusiwe watu wenye limited mind...!
Akili mingi πŸ‘πŸ‘
 
Kila siku tunawaambieni Mungu ni nadharia mnakazi mafuvu, Mungu hajawahi kuwepo wala hatakaa awepo, zaidi ya nadharia vichwani mwa watu ,na kadri mda unavyozidi kwenda mtaona mengi.
 
Unq akili mnooo.😍
 
Kweli akili yako kina kirefu tena kina kirefu cha Ibilisi mlaaniwa.
Nani kakuambia kula nguruwe ni sunna?Huo ni ushetani unaofuatwa na hao akina Konde na Simba
Hapo hapo wanawajengea na misikiti na misikitini mwenu wanaingia kamakawa
 
Mwanadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu 'Mwanzo 1:26'
Mwanadamu anaweza kua mwanamke au mwanaume

Anayepinga kauli ya Harmonize aende akamlete Mungu na atudhibitishie kua ana jinsia ya Kiume
Tusiwe watu wenye limited mind...!
Hivi kwenye Sala yako unaanza na kusema vipi?
 
Kwa mimi angalau ukinambia mliabudu mizimu ambayo ilikua inaishi katika mti wa mkuyu ama mapango nitakubali.
Ila sio kuabudu mti kama mti.
Anyway kaka tuishie hapo.
 
Binti yangu nawaambiaga wajitahidi kuwa na smart brain Kama ya ephen_

Na wawe na chura kiasi flan...
Ili wawe na chura inabidi warithi kwa mama au shangazi zao

Akili warithi kwako, darasani ulikua nazo au ndo ulikua unakaa backbencher?😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…