Dkt. Sule, kwa suala la Harmonize, wewe ndo haupo sahihi. Harmonize yupo sahihi kushinda wewe

Malaika hawana jinsia bali utokea kwa jinsia ya me au ke
Jinsi [emoji736]

Jinsia [emoji777]

Ktk Biblia hakuna Malaika hata mmoja aliyetokea kwenye umbo au jinsi ya Kike, thibitisha hapa kwa Maandiko Matakatifu "Biblia".
 
Reactions: I M
Tatizo la dini ya Kiislam liko hapa, hawataki watu kufikiri na kuwa huru, wao wanataka waumini wajinga tu, ukihoji jambo unaonekana msaliti na ndiyo maana Waislam wengi hawajuwi ukweli wowote kuhusu dini yao, wao wamekariri tu vitu visivyo na maana kwao.
 
1. Uislamu una taratibu zake.
2. Dhambi kwenye uislamu Zina madaraja tofauti.
3. Kuwa muislamu ni kuwa na shahada mbili. Kwa maana yake halisi. Kwamba jambo lolote la ibada hutamfanyia mwingine yeyote ispokuwa Allaah. Na lazima uamini Muhammad ni mja na mtume wa Allaah. Si mwana wa Allaah wala mshauri wa Allaah. Yeye ni mwanadamu kama wengine. Ila yeye aliletewa ufunuo. Hivyo, kwakuwa yeye aliletewa ufunuo ndiye aliyetufundisha ibada,na jinsi ya kuitekeleza. Maana ya shahada ya pili ni kuwa,sitafanya ibada yeyote ila Kwa muongozo na kumuiga Muhammad.

Kwa maana hiyo muislamu ni yule anayeyafuata hayo kikamilifu.
Kinyume na hivyo unaweza ukatoka kwenye uislamu au ukahukumiwa kuwa si muisla. Na hili la kuhukumiwa lina taratibu zake. Na wanaoweza kutoa hukumu hiyo ni wanachuoni wakubwa waliobobea kwenye ilmu.(Kwa maana hiyo, Sule amekosea kutoa hukumu wakati yeye si mwanachuoni)

Wasio wanachuoni nafasi yao ni kukumbisha,kunasihi na kufundisha.

Harmonies sio mwanachuoni. Anapewa dharura ya ujinga. Hajui uzito wa maneno aliyoyasema. Atabaki kuwa ameasi Kwa kutenda dhambi kubwa hadi pale taratibu zitakapokamilika na kupelekwa suala lake Kwa wanazuoni.

Ama suala la muziki ni kweli ni haramu. Lakini halimtoi mtu kwenye uislamu.

Ama hadithi uliyoitaja kwamba ni mafundisho ya Mtume,si sahihi.
Bali Mtume aliulizwa kuhusiana na baba na mama, nani afanyiwe wema zaidi?
Akajibu,
Mama yako mara tatu ndio akajibu "baba yako" kwamaana mama anastahili kufanyiwa wema mara tatu zaidi ya baba.
Hivyo, Kwa mujibu wa Sheria ya kiislamu, konde boy kafanya kufru ila hajatoka kwenye uislamu hadi aukane uislamu mwenyewe au ahukumiwe na wanazuoni kwamba si muislamu.

Muhimu utambue kwenye uislamu Kuna kufanya tendo la kufru na Kuna kukufuru. Kama Ilivyo unaweza kufanya tendo la ushirikina na kuwa mshirikina. Ni vitu tofauti.
 
Jambo ambalo nahisi linawachanganya watu wengi ni kwamba duniani kuna miungu mingi wenye sifa na tabia tofauti.

Simjui mungu wa Harmonize ni yupi ni ngumu kusema yuko sahihi au hayuko sahihi sababu hajataja anaamini mungu yupi.

Kwa upande wa imani ya kikristo, japo amesema hafananishwi na kitu au mfano wa kitu chochote dunuani na mbinguni, mara nyingi ametajwa kama BWANA, Baba wa yatima nk, na hata Yesu mwenyewe alimuita Mungu baba yake.
 
We mpiga magoti kwenye mabenchi huwezi kuusemea uislamu
 
Asante Kwa marekebisho. Sisi tusio jua kizungu tunateseka mno.
Yes,
The dream is still alive,
Aluta continua, victory...
Wote hatujui lakini ni muhimu kurekebishana
Hongera..!
 
Viongozi wa dini hızı za kuletewa wana matatizo sana ya uelewa, Serikali inabidi kukamata viongozi wa hızı dini na kuwapa adhabu kali kwani wanalazimisha wananchi wao kuwa wajinga.
 
Mwanadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu 'Mwanzo 1:26'
Mwanadamu anaweza kua mwanamke au mwanaume

Anayepinga kauli ya Harmonize aende akamlete Mungu na atudhibitishie kua ana jinsia ya Kiume
Tusiwe watu wenye limited mind...!
Hapo juu umequote bible.

Sasa kwenye hiyo bible, kuna sehemu yoyote Yesu alisema Mungu Mama?

Alisema anaenda kwa baba yake kutuandalia makao, mbona sio kwa mama yake?

Tumuumbe mtu kwa mfano wetu, mbona hakuumbwa mwanamke?
 


Ubarikiwe mno,
Umechambua vizuri sana and fairly.

🙏🙏
 
Hivi huyu mungu wa waislamu, niwa-namna gani? mbona wanampigania sn, inaelekea "Harmonize" ni more powerfull kamshindwa adi anaomba msaada kwa Dr. Sulle?!!!!!
 


Wanashangaza kuona Eti badala ya kuacha kama amekosea Mungu mwenyewe ajue cha kumfanya kama ni kimhurumia na kumsamehe au kumpa adhabu n.k
Eti badala yake wanamsaidia Mungu kuhukumu.
Yaani wao ndio wanakuwa majaji kwa kumlaani.
utasema wao ni watakatifu Hawana dhambi kumbe wengine wamejaa ushirikina na uchawi n.k
 


Wanatumia nguvu nyingi utafikiri jamaa ameua mtu.
Mbona wachawi wanaua, wanatia watu magonjwa, mifaraka n.k lakini hampambani nao na kuwalaani?
 
Nadhani mjadaka umeishia hapo tulipokubaliana kuwa bible imemtaja ni Mungu Baba.

Sasa we endelea kumuita Mungu mama au mungu dada


Uwe na jioni njema
 


Halafu ni jambo dogo sana la kupuuzia tu.

Kwani kwa kusema vile ndio kusema Mwenyezi atabadilika na kuwa mwanamke kweli badała ya kuwa Mwanaume?

Hivi hawa jamaa kiwango chao cha uelewa wa mambo huwa kikoje?
 


Hii ndio sasa pale kusema:
Great minds discuss issues
Average minds discuss events
Small minds discuss people
 


Kuna baadhi ya watu wa imani fulani wanapendaga sana kufanyia watu visasi.
Yaani hapo wanatamani yamfike mabaya mtoto wa watu ili wafurahi.
Chuki tu na kukosa upendo na rehema.
 
Wazee wetu walikuwa gizani wakiabudu wasichokijua
Kwa hiyo sisi ndio tunajua baada ya kuabudu dini za waarabu na wazungu ambao muda mwingine wanaongea chochote nasi tuwafate mara utasikia Mashoga sijui kesho hatujui watapitisha nini...
 
Wakristo Kwa unafiki hata shetani anawashangaa. Wakati ule wa mihadhara Mungu wenu alikuwa wapi hadi ninyi mkawa ndio mnampigania kwamba anakashfiwa?
 
Wakristo Kwa unafiki hata shetani anawashangaa. Wakati ule wa mihadhara Mungu wenu alikuwa wapi hadi ninyi mkawa ndio mnampigania kwamba anakashfiwa?


Fafanua,
Ni lini Mungu wao aliwahi kupiganiwa?
Kwa namna gani na mara ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…