Dkt. Sule, kwa suala la Harmonize, wewe ndo haupo sahihi. Harmonize yupo sahihi kushinda wewe

Wakristo Kwa unafiki hata shetani anawashangaa. Wakati ule wa mihadhara Mungu wenu alikuwa wapi hadi ninyi mkawa ndio mnampigania kwamba anakashfiwa?

Kina Nabii Tito wale unaona upuuzi wao wanaofanya lakini uliwahi kuona Wakristo wanahangaika nao?
Yule mwanamke anajiita Mfalme Zumaridi anayoyafanya umeona kuna Mkristo anahangaika nae kumwambia anakufuru Mungu?
Hiyo mifano michache nimekupa.

Wakristo wenzao wanaamini Mungu mwenyewe akiona kufaa atawahurumia na kuwasamahe au kuwaadhibu atakavyo.

Sasa hao wangekuwa Waislam sipati picha kama wangeendelea πŸ™†β€β™‚οΈπŸ€¦β€β™€οΈ
 
Kwa hiyo sisi ndio tunajua baada ya kuabudu dini za waarabu na wazungu ambao muda mwingine wanaongea chochote nasi tuwafate mara utasikia Mashoga sijui kesho hatujui watapitisha nini...
Thus zilikufa kibudu baada ya ujio wa dini za kweli.Hakuna dini inasapoti ushoga.
Ushoga ni ugonjwa wa akili.
 
Ukisema mwanamke ni kiumbe dhaifu maana yake ni kwamba alie muumba ndio dhaifu kwa sababu huyo mwanamke hajajiumba yeye mwenyewe bali amemumbwa na Mungu.

Mwenyezi Mungu hajawahi kuumba kitu dhaifu wala kitu ambacho hakijakamilika.
 
Ukisema binadamu ni kiumbe dhaifu tafsiri ni kwamba unasema Mungu ndjo dhaifu kwa sababu yeye ndio Kamuumba huyo mwanadamu.

Ukweli ni kwamba Mwenyezi Mungu hajawahi kuumba kiumbe dhaifu wala hawezi kuumba kiumbe ambacho hakijakamilika
 
Hivi mtoto ambae amezaliwa mama ake akafa wakati anazaliwa then mtoto huyo akakuzwa kwa maziwa ya ng'ombe unadhani mtoto huyo akiwa mkubwa akaujua ukweli atamuona ngombe ni nani kwake kama sio Mama? So kwa wahindi ngombe ni mama ndio maana wana muabudu kwa mujibu wa imani yao Adam wao alikuzwa kwa maziwa ya ngombe kwa sababu hakuwa na mama
 
Wapo wanaokuzwa na maziwa ya ng😱mbe je hao nao wawaite ng'ombe ni mama??
Kukuzwa kwa mtu ni kwa maziwa tu!?
Nani alikua akimbembeleza mtoto,kumuogesha na kumjali??
Je ng'ombe nae anahusika!?
Mbona mfano mbovu sana huu!?
 
Mwanamke ni binadamu wa THAMANI KUBWA MNO.

HARMONIZE ame MUHESHIMISHA MUNGU WAKE!

mtu pekee anayeweza kutoa fafanuzi ni yy mwenyewe DR SULLE na wale wote wanao toa tafsiri NEGATIVE ndo wakosaji.

" nikisema MUNGU WANGU" sina maana kuwa sio MUNGU WENU!

Nia ya HARMONIZE NI NJEMA KUMUHUSU MUNGU!.
 
Ukisema binadamu ni kiumbe dhaifu tafsiri ni kwamba unasema Mungu ndjo dhaifu kwa sababu yeye ndio Kamuumba huyo mwanadamu.

Ukweli ni kwamba Mwenyezi Mungu hajawahi kuumba kiumbe dhaifu wala hawezi kuumba kiumbe ambacho hakijakamilika
Mungu kumuumba binadam akiwa na madhaifu yake ni utashi wake Mungu.
Na madhaifu ni sehemu ya ukamilifu ya uumbaji wake.
Pasi na hayo madhaifu basi tamu ya hii dunia isingekuwepo.
Mkamilifu ni yeye Mungu peke yake.
 
Ukisema mwanamke ni kiumbe dhaifu maana yake ni kwamba alie muumba ndio dhaifu kwa sababu huyo mwanamke hajajiumba yeye mwenyewe bali amemumbwa na Mungu.

Mwenyezi Mungu hajawahi kuumba kitu dhaifu wala kitu ambacho hakijakamilika.
Huo udhaifu ndio ukamilifu wa uumbaji wa Mungu.
Madhaifu yenyewe ndio hayo yanayofanya tukosee kama binadamu.
 
Kwa hiyo katika uislamu mwanamke ni kiumbe haramu? Bila huyo mwanamke Mtume angezaliwa?
 
Mungu kumuumba binadam akiwa na madhaifu yake ni utashi wake Mungu.
Na madhaifu ni sehemu ya ukamilifu ya uumbaji wake.
Pasi na hayo madhaifu basi tamu ya hii dunia isingekuwepo.
Mkamilifu ni yeye Mungu peke yake.

Ur very wrong mkuu Mwenyezi Mungu amemuumba mwanadamu ambae amekamilika kwa Asilimia mia wala hana mapungufu yoyote yani kama unavyo ona jinsi lilivyo kamilika jua na mfumo wake.

Kama mwanadamu angekuwa dhaifu kama unavyo taka kuaminisha watu wewe kawekewa jehanamu ya nini sasa wakati yeye ni dhaifu?

Umewekewa jehanamu kwa sababu wewe umekamilika.

Breaking News: siamini katika uwepo wa Jehanamu
 
Kila siku tunawaambieni Mungu ni nadharia mnakazi mafuvu, Mungu hajawahi kuwepo wala hatakaa awepo, zaidi ya nadharia vichwani mwa watu ,na kadri mda unavyozidi kwenda mtaona mengi.
I know ur just joking mkuu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Aiseee.
-Suala la wewe kufanya makosa ni udhaifu tayari.
-Suala la wewe kuendeshwa na hasira ni udhaifu tayari.
-Suala la wewe kufanya maamuzi mabovu ni udhaifu tayari.
Mengine unayajua.
 
Kama kuwa na Hasira ni udhaifu mbona maandiko ya dini zote yanasema Mungu ana Hasira na anakasirishwa? Kwa hiyo ja yeye dhaifu kumbe?
 
Kama kuwa na Hasira ni udhaifu mbona maandiko ya dini zote yanasema Mungu ana Hasira na anakasirishwa? Kwa hiyo ja yeye dhaifu kumbe?
Hujanielewa mkuu soma kwa utuo,kuna kupata hasira na kuna kuendeshwa na hasira.
Hivyo ni vitu viwili tofauti.
Kukasirika ni kughadhibika kutokana na sababu ya kile kilichokukera na kuendeshwa na hasira ni kufanya maamuzi kulingana na hasira zako.
Hivyo vitu vinafanana bro!?
 
Mimi sijasikia clip ya Dr Sule ila kwa Context ya Kiislam hawezi kumlingalisha/Kumfananisha Mungu na kitu chochote Kwani sifa za Mungu wa Waislam ni kama zifuatazo;

1 Ni Mungu mmoja tu na hana mshirika

2. Hajazaa wala hajazaliwa
3. Hana mwanzo wala hana Mwisho
4. Hanafani na kitu chochote
5. Ni muumbaji wa Viumbe vyote (vilivyopo Duniani na vilivypo mbinguni)

Kwa kuwa Mwanamke hana sifa (hata moja) za Mungu anaye aminiwa na Waislam; hivyo,
Kwa mtu yeyote ambaye hajaukana Uislam, hatakiwi KABISA kumlinganisha MUNGU na kitu chochote kwani huo ni Udhalilishaji wa hali ya juu wa Mamlaka Ya MUNGU.
Ila mtu akiwa Nje ya Uislam (akiwa sio Muislam), huko atajuana mwenyewe na Mungu wake siku za mwisho (Day of judgement)
[/QUOTE]

1. Hata Hawa alikuwa mmoja tu na hakuwa na mshirika.

2. Hata Hawa hakuzaliwa au wewe unamjua baba ake au mama ake na Hawa?

Vilevile wapo wanawake ambao mpaka wamekufa hawajazaa.

3. Hata mother universe hana mwanzo wala hana mwisho.

4. Hata upendo wa mama.haulinganishwi na kiti chochote. Anyways wewe ulimuona wapi Mungu hadi utuambie hafanani na kitu chochote?

5. Hata wanawake na viumbe wote wenye jinsia us kike ndio wanao " umba" viumbe kwenye matumbo yao.

So point yako " mwanamke hana hata sifa moja inayo fanana na sifa ya Mungu" haina mashiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…