Dkt. Sule, kwa suala la Harmonize, wewe ndo haupo sahihi. Harmonize yupo sahihi kushinda wewe

Harmonize sio authority yoyote katika uislamu.

Harmonize alisha ukana uislamu kwa vitendo tangu alipo ingia kwenye kazi ya muziki kwa sababu kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu muziki ni haramu kama ilivyo nyama ya nguruwe .

Kwa hiyo kwa hermonize kuingia kwenye muziki tayari ameshajitoa kwenye uislamu.

Harmonize kasema kwamba kwa miaka 30 aliyo ishi duniani anadhani kwamba huenda Mungu ni mwanamke.

Harmonize was talking about a personal experience that he had with God.

Kwa mambo mema na mazuri ambayo Mungu amemtendea yeye kama yeye katika maisha yake Binafsi basi ameshawishika kuamini kwamba huenda Mungu akawa ni mwanamke...

Harmonize ameutathmini upendo ambao Mungu amemuonyesha kwenye maisha yake kisha akaufananisha na upendo wa mama yake mzazi.

Sasa ana kosa gani akisema kwamba ana amini kwamba huenda Mungu ni mwanamke?

Harmonize sio wa kwanza kutoa kauli hii hata Shaggy aliwahi kuimba kwenye wimbo wake " strength of a woman" kwamba anafikiri huenda Mungu akawa ni mwanamke.

Kitu kimoja ambacho nimegundua kuhusu viongozi na walimu wa dini zenu kuu mbili ukristu na uislamu ni kwamba these guys have got a very little and limited understanding about God. They think they know everything about God. Halafu wamemuwekea Mungu mipaka kwa maana ya kwamba wanaamini Mungu hawezi kuwa hivi wala vile. To them Mungu anaweza kuwa vile tu alivyo elezewa kwenye vitabu vyao na sio tofauti na hapo.

Yani wamemfunga Mungu kwenye vitabu vyao.

Kwa upande wa wakristu Mungu kwao alipewa majina tofauti tofauti kwa nyakati tofauti based on the personal experiences that he had with those people.

Mfano aliitwa Mungu wa Ibrahim kwa sababu ya his experience with Abraham.

Aliitwa Mungu wa Isaka kwa sababu ya his experience with Isack.

Aliitwa Mungu wa Yakobo kwa sababu ya his experience with Jacob.

Tundu Lissu alivyo shambuliwa kwa risasi mwaka 2017 na kisha aka survive watu wengi walisema ni Mungu ndio alimuokoa. Kama Lissu angeishi in Biblical times huenda leo tungekuwa na Mungu wa Tundu Lissu. Mungu mwenye kuokoa na hatari mbaya.

Je kwako wewe Binafsi based on your personal experience with God Mungu ni nani kwako? Mungu wako angeitwa nani? Mungu wa Likud angeitwa nani?

Kwa Harmonize yeye based on his personal experience with God kwake yeye Mungu ni Mama kwake ( mwanamke)

Kwa upendo ambao Mungu amemuonyesha Hermonize yeye anamfananisha Mungu wake na mama yake.

Jamani hivi duniani kuna kiumbe mwenye upendo wa kweli kama Mama?

Hata wewe Dr. Sule anae kupenda kuliko chochote ni Mama yako.

Hata wewe Dr. Sule ukiambiwa uchague kitu kimoja kati ya Mungu wa kwenye kitabu chako na mama yako mzazi alie kuzaa utamchagua mama.yako.

Chid Benz aliwahi kuongea point moja kubwa sana akasema.mama zetu ndio Mungu zetu. Hawa ndio walio tuumba kwenye mafumbo yao. Tunatakiwa kuwatazama kama.miungu.

Hata Mtume Muhammad (pbuh) aliwahi kuulizwa na swahiba wake " nifanye nini ili niende mbinguni"
Majibu ya mtume yalikuwa :

1. Mpende mama ako.

2. Mpende mama ako.

3. Mpende mama ako.

Mtume hakusema " mpende Mungu wako" la hasha. Alisema " mpende mama ako"

Uislamu unatuelekeza mama.ndio pepo yako.
Harmonize yupo sahihi sana kuliko Dr. SULE.

UPENDO WA MUNGU NI SAWA NA UPENDO WA MAMA.

Kama Hermonize angekuwa ni shekhe na akasema maneno hayo kama.shekhe ungeweza kumchallenge kidogo kwa sababu mashekhe na wachungaji/ mapadri huwaga hawana tumiagi fikra zao huru ktk kutoa maoni kuhusu Mungu . Wao huwa wana quote kilicho andikwa kwenye vitabu vyao.
Harmonize sio shekhe ndio maana ametumia mawazo yake Binafsi.

So Dr. Sule na wote mnao mtukana hermonize stop being selfish. Acheni kutaka kila mtu akiamini kile mnacho kiamini nyinyi.

Kwa hiyo Hermonize yupo sahihi kabisa..
Vyema sana mkuuu
 
[/QUOTE]

Mimi sijasikia clip ya Dr Sule ila kwa Context ya Kiislam hawezi kumlingalisha/Kumfananisha Mungu na kitu chochote Kwani sifa za Mungu wa Waislam ni kama zifuatazo;

1 Ni Mungu mmoja tu na hana mshirika
2. Hajazaa wala hajazaliwa
3. Hana mwanzo wala hana Mwisho
4. Hanafani na kitu chochote
5. Ni muumbaji wa Viumbe vyote (vilivyopo Duniani na vilivypo mbinguni)

Kwa kuwa Mwanamke hana sifa (hata moja) za Mungu anaye aminiwa na Waislam; hivyo,
Kwa mtu yeyote ambaye hajaukana Uislam, hatakiwi KABISA kumlinganisha MUNGU na kitu chochote kwani huo ni Udhalilishaji wa hali ya juu wa Mamlaka Ya MUNGU.
Ila mtu akiwa Nje ya Uislam (akiwa sio Muislam), huko atajuana mwenyewe na Mungu wake siku za mwisho (Day of judgement)
 
Mwanadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu 'Mwanzo 1:26'
Mwanadamu anaweza kua mwanamke au mwanaume

Anayepinga kauli ya Harmonize aende akamlete Mungu na atudhibitishie kua ana jinsia ya Kiume
Tusiwe watu wenye limited mind...!
Malaika wote ni madume, sembuse huyo Mungu mwenyewe aliyewaumba Malaika? Ebu kuwa makini hata kidogo basi.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Unataka niseme 'Baba yangu uliye mbinguni'[emoji23][emoji1787]

Hiyo tumekalili kama kawaida yetu
Haimaanishi nikisema Mama yangu uliye mbinguni hawezi kunisikia
'Mungu ni roho hana jinsia'
Jinsi [emoji736]

Jinsia [emoji777]
 
Ili wawe na chura inabidi warithi kwa mama au shangazi zao

Akili warithi kwako, darasani ulikua nazo au ndo ulikua unakaa backbencher?😎
Akili nilikuwa nazo Ila nilikuwa sipendi kusoma. Yaan nilikuwa na arlegy na masomo. Form four was enough to me.
 
Malaika wote ni madume, sembuse huyo Mungu mwenyewe aliyewaumba Malaika? Ebu kuwa makini hata kidogo basi.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
Kaniletea hao malaika na Mungu na unionyesha hizo jinsia za kiume
'Tumekalili kiufupi hizi ni nadharia tu! Roho ina jinsia?'
Jinsi [emoji736]

Jinsia [emoji777]
Asante mwalimu wa kiswahili
Naomba kujua tofauti ya jinsi na jinsia
Natanguliza shukrani..!
 
Akili nilikuwa nazo Ila nilikuwa sipendi kusoma. Yaan nilikuwa na arlegy na masomo. Form four was enough to me.
Arlegy-Allergy
Sio mbaya hata hivyo
Sio lazima wote tusome, muhimu kila mtu kutimiza ndoto zake
 
Itoshe kusema haram haimpeleki mtu kuzimu/motoni bali dhambi tuu.

Mtazamo wa mtu haina haja ya kuupinga zaidi ya kumwelimisha kama wakion ni busara. Kupayuka mbele za watu kumsema alichoongea si sawa ni kuwa kama mafarisayo ambao wao walitaka kuonekana mbele za watu kuwa wao ni wema na wenye kujua meng.

Mungu ni kwa wale wenye kumwamini na kutenda yaliyo mema kwa matendo
 
Kaniletea hao malaika na Mungu na unionyesha hizo jinsia za kiume
'Tumekalili kiufupi hizi ni nadharia tu! Roho ina jinsia?'

Asante mwalimu wa kiswahili
Naomba kujua tofauti ya jinsi na jinsia
Natanguliza shukrani..!
Ni vigumu sana kumuelewesha Mtu asiyejua kitu na kashajiandaa kisaikolojia kubisha.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Hao wanamuziki sijui harmonize,shaggy,Rihanna,nk mungu wao ni mwanamke anaitwa quuen of coast,au malkia wa baharini ndie anaewapa huo utajiri na umaarufu duniani.
Rejea wimbo wa rihana umbrella hapa anamtukuza mungu wake umbrella,rejea wimbo wa shaggy strength of women anamtukuza mungu wake queen of coast,rejea mungu wa yule muimbaji wa injili aliyetoka kwenye ndoa yake.
Mungu WA all universe ni Mwanaume kwa mujibu wa maandiko na vitabu na tena anafanana na mwanaume.
 
Upendo haupo Kwa mama pekee upendo utolewa na baba au mama.
Kina mama ndio uongoza kwa kuwafanyia ukatili mkubwa watoto wao wa kuwazaa au kuwalea,rejea vitendo vya mama wa kambo ni ushetani mtupu ni mmoja TU kwa mia
 
Mwanadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu 'Mwanzo 1:26'
Mwanadamu anaweza kua mwanamke au mwanaume

Anayepinga kauli ya Harmonize aende akamlete Mungu na atudhibitishie kua ana jinsia ya Kiume
Tusiwe watu wenye limited mind...!
Mwanadamu
WA kwanza kuumbwa ni jinsia gani? Utapata jinsia ya Mungu
 
Mungu angekua mwanamke, tungemjua mume wake tuu

Harmonize anataka kusema mungu anapata mimba?
Mungu ananyonyesha?

Wanawake tulio nao duniani mnajionea wenyewe, mmoja tumempa madaraka, nadhani mkuu wa mkoa wa kiume ni wa Arusha tuu (joke).
Mungu WA harmonize ni mwanamke anaitwa quuen of coast.
Google habari zake zaid
 
Huu ujinga ndio unafanyaga mnahoji alimlala lini mariamu akapatikana Yesu😁.

Yaani ni muislam pekee ambaye ana Mungu wake ambaye hamjui,lakini anataka kumuelezea.
Mariamu alitumika TU kama daraja,Yesu angezuka tu wengi wangetaka kujua asili yake.
Angekuja kwa mfano wa mbuzi,ndizi,kiti hakuna mwanadamu angemuelewa
 
Ndio nashangaa namimi. Wakati hata ndani ya Qur'aan mwanamke kapewa hadhi ya juu sana hadi kapewa sura Suratul Maryam. Mtume Muhammad ( pbuh) kauliza na maswahaba wake " Tufanye nini ewe Mtume wa Allah ili tuweze kufika juu mbinguni.

Majibu ya Mtume;
1. Mpende Mama ako.

2. Mpende Mama ako.

3. Mpende Mama.ako.

Maana yake ni kwamba kwa mujibu wa mafundisho ya kiislamu pepo ya mwanadamu ipo kwa mama yake.

Kwa unyanyapaa anao anao uonyesha Dr.Sule dhidi ya wanawake kama angeishi enzi za Prophet basi angeungana na akina Abu Jahr kwa sababu angehoji inakuwaje Mwenyezi Mungu ameshusha aya inayo mtaja mwanamke ( Maryam) kwenye kitabu chake kitakatifu.
Mama utumika kama daraja la uunganishi wa mwanadamu na Mungu thus ukitusiwa mama yako lazima urushe ngumi,baba hana bond na mtoto upewa cheo tu Cha heshima kama mlinzi WA familia.
Ndo maana ni rahisi kumkumbuka mama kuliko baba kwa wengi.
 
Unataka niseme 'Baba yangu uliye mbinguni'😂🤣

Hiyo tumekalili kama kawaida yetu
Haimaanishi nikisema Mama yangu uliye mbinguni hawezi kunisikia
'Mungu ni roho hana jinsia'
Usilitaje bure jina la Mungu wako.
 
Sule anamuona harmonize ni muislamu kwa sababu anamiliki jina la kiislam.
Lakini ukija kwenye nadharia ukishaingia TU kwenye miziki hii ya kidunia we we si Muislam Wala Mkristo.
Na Hawa wanamuziki wa kidunia Wana mungu wao Ambae ndie mkuu wa dunia hii ambao umuimbia nyimbo za kumtukuza
 
Harmonize sio authority yoyote katika uislamu.

Harmonize alisha ukana uislamu kwa vitendo tangu alipo ingia kwenye kazi ya muziki kwa sababu kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu muziki ni haramu kama ilivyo nyama ya nguruwe .

Kwa hiyo kwa hermonize kuingia kwenye muziki tayari ameshajitoa kwenye uislamu.

Harmonize kasema kwamba kwa miaka 30 aliyo ishi duniani anadhani kwamba huenda Mungu ni mwanamke.

Harmonize was talking about a personal experience that he had with God.

Kwa mambo mema na mazuri ambayo Mungu amemtendea yeye kama yeye katika maisha yake Binafsi basi ameshawishika kuamini kwamba huenda Mungu akawa ni mwanamke...

Harmonize ameutathmini upendo ambao Mungu amemuonyesha kwenye maisha yake kisha akaufananisha na upendo wa mama yake mzazi.

Sasa ana kosa gani akisema kwamba ana amini kwamba huenda Mungu ni mwanamke?

Harmonize sio wa kwanza kutoa kauli hii hata Shaggy aliwahi kuimba kwenye wimbo wake " strength of a woman" kwamba anafikiri huenda Mungu akawa ni mwanamke.

Kitu kimoja ambacho nimegundua kuhusu viongozi na walimu wa dini zenu kuu mbili ukristu na uislamu ni kwamba these guys have got a very little and limited understanding about God. They think they know everything about God. Halafu wamemuwekea Mungu mipaka kwa maana ya kwamba wanaamini Mungu hawezi kuwa hivi wala vile. To them Mungu anaweza kuwa vile tu alivyo elezewa kwenye vitabu vyao na sio tofauti na hapo.

Yani wamemfunga Mungu kwenye vitabu vyao.

Kwa upande wa wakristu Mungu kwao alipewa majina tofauti tofauti kwa nyakati tofauti based on the personal experiences that he had with those people.

Mfano aliitwa Mungu wa Ibrahim kwa sababu ya his experience with Abraham.

Aliitwa Mungu wa Isaka kwa sababu ya his experience with Isack.

Aliitwa Mungu wa Yakobo kwa sababu ya his experience with Jacob.

Tundu Lissu alivyo shambuliwa kwa risasi mwaka 2017 na kisha aka survive watu wengi walisema ni Mungu ndio alimuokoa. Kama Lissu angeishi in Biblical times huenda leo tungekuwa na Mungu wa Tundu Lissu. Mungu mwenye kuokoa na hatari mbaya.

Je kwako wewe Binafsi based on your personal experience with God Mungu ni nani kwako? Mungu wako angeitwa nani? Mungu wa Likud angeitwa nani?

Kwa Harmonize yeye based on his personal experience with God kwake yeye Mungu ni Mama kwake ( mwanamke)

Kwa upendo ambao Mungu amemuonyesha Hermonize yeye anamfananisha Mungu wake na mama yake.

Jamani hivi duniani kuna kiumbe mwenye upendo wa kweli kama Mama?

Hata wewe Dr. Sule anae kupenda kuliko chochote ni Mama yako.

Hata wewe Dr. Sule ukiambiwa uchague kitu kimoja kati ya Mungu wa kwenye kitabu chako na mama yako mzazi alie kuzaa utamchagua mama.yako.

Chid Benz aliwahi kuongea point moja kubwa sana akasema.mama zetu ndio Mungu zetu. Hawa ndio walio tuumba kwenye mafumbo yao. Tunatakiwa kuwatazama kama.miungu.

Hata Mtume Muhammad (pbuh) aliwahi kuulizwa na swahiba wake " nifanye nini ili niende mbinguni"
Majibu ya mtume yalikuwa :

1. Mpende mama ako.

2. Mpende mama ako.

3. Mpende mama ako.

Mtume hakusema " mpende Mungu wako" la hasha. Alisema " mpende mama ako"

Uislamu unatuelekeza mama.ndio pepo yako.
Harmonize yupo sahihi sana kuliko Dr. SULE.

UPENDO WA MUNGU NI SAWA NA UPENDO WA MAMA.

Kama Hermonize angekuwa ni shekhe na akasema maneno hayo kama.shekhe ungeweza kumchallenge kidogo kwa sababu mashekhe na wachungaji/ mapadri huwaga hawana tumiagi fikra zao huru ktk kutoa maoni kuhusu Mungu . Wao huwa wana quote kilicho andikwa kwenye vitabu vyao.
Harmonize sio shekhe ndio maana ametumia mawazo yake Binafsi.

So Dr. Sule na wote mnao mtukana hermonize stop being selfish. Acheni kutaka kila mtu akiamini kile mnacho kiamini nyinyi.

Kwa hiyo Hermonize yupo sahihi kabisa..
Nawe inaonekana unaunga kuwa Mungu ni mwanamke. Yani vichwa vyote vilivyotangulia karne hizo hawakuwahi kusema Mungu ni mwanamke, leo hii atokee dogo mmoja mwenye maisha fidhili aseme anamjua Mungu kiasi hicho? Nakumbuka aliwahifanyiwa tambiko la wazi kwao huko miaka fulani. Kama ni tambiko lonafanya kazi je?

Tunajua kuna Mungu na miungu. Pengine anazungumzia miungu. Au Allah, ila sio Mungu huyu tunayemuabudu. Si wa mzaha. Kwa kiasi kikubwa tunayafahamu maisha ya huyo msanii. Labda aseme alitokewa na jambo la kiimani kama Sauli (Mtume Paulo). Zaidi ya hapo ni kujigurahisha na kujifarakanisha zaidi na muumba
 
Back
Top Bottom