Dkt. Tulia Ackson ameshinda Urais wa IPU kwa kishindo, apata kura 172 kati ya 303

uwe unaandika habari zako kwa ufupi, hakuna mtu yupo interested kusoma hilo gazeti, mi mwenyewe nimesoma kichwa cha habari tu.
Soma hadi unapoweza kufika kulingana na uwezo wako, ndio maana watu aina yako hamuwezi kusoma mktaba na kuuelewa hata kama ni page moja na nusu. Ndio maana watanzania ukitaka utuuze basi wewe weka jambo katika maandishi tu.
 
Kwa zile kelele alivyokuwa anapigiwa akiwa anajinadi nilisema moyoni mwangu huyu mtu lazima ashinde.

Na kama asiposhinda basi nitakubali hii dunia kuna wanadamu wanafki sana hasa wanasiasa.

Kwa kelele zile basi kumbe hazikuwa za kinafki ila walikuwa wanamaanisha.

Asingeshinda pia ningesema "nilijua tu ni unafki wa wanasiasa"

Hongera kwake, alikuwa anatoa mavituz nilikuwa naandika tu pembeni siku na mimi nisimamishwe mahali nifanye kazi ya ku PASTE.
 
Yaan dunia iongozwe na mwanamke kama huyo kweli uchawi upooo
 
Leo lazima ufe kwa presha na mihasira, wakati Dunia nzima ikiendelea kushangilia ushindi wa Dr Tulia.
Dunia ipi? Lishamba ...zipi international media zina cover habari ya tegemeo lako la mwisho huyo mama?

Kwasasa ni;
1. Kichapo cha middle East
2. Furry Vs Francis (M50$)

Mavi ya pusi wewe
 
Soma hadi unapoweza kufika kulingana na uwezo wako.ndio maana watu aina yako hamuwezi kusoma mktabat na kuuelewa hata kama ni page moja na nusu.ndio maana watanzania ukitaka utuuze basi wewe weka jambo katika maandishi tu
Kusoma hizo pumba ni upotevu wa muda.
 
Yaan dunia iongozwe na mwanamke kama huyo kweli uchawi upooo
Kwani mama yako aliyekuzaa hawezi kuongoza? Hakukuongoza katika kukulea? Una nini hapo na nani mwenye uwezo wa kumdhidi Dr Tulia kujenga hoja ? Ni Dr Tulia huyo huyo aliwagaragaza CHADEMA nzima mahakama mwaka 2015
 
Hongera sana Dr Tulia Ackson kwa kuipaisha Tanzania kimataifa.
 
Ni njia nzuri ya kula na kipofu.
 
SPIKA TULIA, RAIS MPYA UMOJA WA MABUNGE DUNIANI (IPU)

Spika wetu Dkt Tulia Ackson ameshinda kwa KISHINDO nafasi ya Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) kwa Kura 172, Malawi 61, Senegal 59 na Somalia 11.

Hili ni goli letu tukufu Watanzania kisiasa, Kidiplomasia na kimahusiano duniani.

Kongole nyingi kwa wabunge wetu akina Neema Lugangira waliompambania usiku na mchana kuwashawishi wajumbe wampigie kura za ndio huko Angola.

Kwa wale mliopambana mitandaoni ama kwa kutuma jumbe hasi IPU Spika wetu asishinde, aibu iwatawale na mjifunze roho mbaya haijengi, na kizuri daima hujiuza.

Haya ni matunda ya Rais wetu Dkt Samia kuifungua nchi duniani.

Mungu ibariki Tanzania.

Suphian Juma Nkuwi.


View: https://twitter.com/SuphianJuma/status/1717890796202951079?t=JkJy56is_2KpA5kVftUl9Q&s=19
 
Sasa mbona 2025 hatakuwa Mbunge.
 
Wana Mbeya mjini na Mr.Two wakifanya yao kwenye uchaguzi mkuu mwaka 2025 itakuwaje ikiwa kanuni ni lazima Rais wa IPU ni lazima awe mbunge wa kuchaguliwa?
 
Ukiona Marekani, UK, Ujerumani, France nk hawashindani ujue hilo jambo ni la kijinga ni sawa na maigizo mengine, unashindana na Somalia, sijui Malawi serious na wewe unaona unashindana? hizo nchi hata Mrisho Mpoto angeshinda. All ni all hongerani wanawake wa UWT mwenzenu ameshinda labda nyie mtakuwa wabunge wa viti maalumu wa hilo bunge
 
Ukiona Marekani, UK, Ujerumani, France nk hawashindani ujue hilo jambo ni la kijinga ni sawa na maigizo mengine, unashindana na Somalia, sijui Malawi serious na wewe unaona unashindana? hizo nchi hata Mrisho Mpoto angeshinda. All ni all hongerani wanawake wa UWT mwenzenu ameshinda labda nyie mtakuwa wabunge wa viti maalumu wa hilo bunge
 
Ukishindana na wagombea toka Somalia na Malaw lazima ushinde.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ndo kashashinda hivyo kwa uweza wa Mwenyezi Mungu. Sisi tunaamini kwa Mungu tofauti na wewe unayeamini katika shetani na mauchafu yake.Giza haliwezi kushindana na nuru.
Ungekuwa unaamini katika Mungu muumbaji usingekuwa chawa wa majangili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…