Hiyo hela imepigwa na CCM kwa ajili ya uchaguzi 2024 serikali za mitaa na 2025 uchaguzi mkuu.

Hakuna kitakachojadiliwa Nov.

Simameni watanzania mkatae wahuni
 
Kukamata mwizi inahitaji sheria gani?
Nani mwizi? Hakuna mahali CAG amemtuhumu mtu kwa wizi! Zile ni kasoro za kiukaguzi, lazima sheria ifuate mkondo kujua kama kulikuwa na ubadhirifu au la, kukurupuka na kuanza kuita watu wezi ni dalili za kutoikewa maana nzima ya ukaguzi.

Kwa mujibu wa sheria, kamati za bunge ndio zinafanya kazi hiyo ua uchunguzi na kuchambua zipi pumba upi mchele. Ripoti za CAG hazishuki toka mbinguni, zimejaa pumba kibao.
 
We ni mjinga sn, mi nilijitolea halmashauri na wizani kwa miaka 2, CAG anaanza ukaguzi mwezi wa 7 baada ya financial kuisha, anaomba evidence zote(wakati wa ukaguzi anakuwa anaomba nyaraka husika kama ni log books sijui invoice na takataka zote) na mwisho kuna exit meeting anaiandikia management mapungufu yote na kupewa muda wa miezi 3 hoja zifungwe na hiyo ni October-December baada ya hapo CAG anaondoa hoja ambazo zimejibiwa zote, na kuanzia Jan-Feb anaanda report kwenda kwa Rais, sijui unataka wapewe muda gani wewe kilaza hujui hata nini maana ya ukaguzi mjinga mkubwa wewe.
 

Bajeti ipi itatekelezwa kwenye ufisadi huu. Huyo spika kilaza anatumikia mabwana zake waliomuweka hapo.
 
Spika kilaza na bunge la vilaza. Mafisadi wananguvu sio ya kitoto.
S
 

Kweli mkuu, ni aibu bunge kuogopa kuichukulia hatua serikali.
 
Spika Tulia anapaswa kuadhibiwa kwa kutokuona umuhimu wa kujidali ripoti hii hata kwa dharura.
Naelewa ilipaswa kamati za bunge ziipitie lkn kutoa mwanya huu mafisadi watapoteza ushahidi.

Wana Mbeya watusaidie kumwadhibu 2025

Tatizo watanzania wanawaogopa wanasiasa hata kama ni vilaza.
 
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema Bunge halitachukua hoja zitakazochangiwa na mbunge sasa kuhusu ripoti ya CAG kwa sababu mkutano wa sasa wa bunge ni wa bajeti na si kujadili ripoti hiyo.

Source:

Spika wa hovyo kuwahi kutokea.
 
Kwahiyo unadhani kazi ya kamati za bunge ni nini kwa mujibu wa sheria?? Au unadhani spika amejiskia tu kusema ripoti itajadiliwa mwezi November?

CAG anafanya kazi kwa niaba ya bunge, ile ripoti ni kwa ajili ya bunge kufanyia kazi, na bunge linazo kaununi zake za kudumu. Wale wote walijutwa na kasoro wanaitwa pamoja na watu wa CAG, kila mmoja analeta umaelezo yake. Bunge ndio mwamuzi wa mwisho.

CAG anaweza asikubaliane na utetezi anaopewa wakati wa audit akaamua kuandika kwenye ripoti yake kuwa ni kasoro, lakini hua sio uamuzi wa mwisho! Bunge linaweza kupitia upya hoja za pande zote mbili na kuamua kuwa hoja ya CAG ni pumba ikatupiliwa mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…