econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Yuko sahihi kwa 100%. Wabunge wengi hawajielewi. Inashangaza kwenye kikao cha bajeti kuzungumzia yasiyohusiana. Bunge la bajeti lakini kila akisimama mbunge atazungumzia ripoti ya CAG na Ushoga. Tanzania tumepata bahati ya kupata spika kijana na msomi.
Hiyo bajeti inatekelezwa na nani kama wizi na ufisadi umetamalaki?. Unajadili bajeti itakayoenda kuliwa na wajanja.