UmelogwaAkafanye usanii huko, madakatari wa Tanzania hawakubaliki popote, tulikuwa na dokta mkemia kwanini alicha kusomesha akawa msimamia barabara? Umeshajiuliza sababu zake? Jibu ni simpo tu. Ni makanjanja tu kwenye fani zao.
Huyo asituletee usanii uliomshinda. Awaache wasanii natural (mama Samia suluhu) wacheze filamu kwa faida ya Taifa.
Kishabuni kipi huyo na hilo Phd lake? Sijakiona zaidi yachuki za kukosoa kijinga. Ingekuwa Samia ni Kristina tusingemuona akikosoa, angesifia.
Lete shudu la Tarantino na Spielberg..Kwahio haindi kuuzwa Hollywood kama ulivyosema Mwanzo...
Pili hata kina Steven Spielberg Quentin Tarantino, Scorsese, Jonathan Nolan (One of the Best Directors) walishawahi kutoa mashudu...
Sio kwamba nasema hii documentary ni Mashudu, bali napingana na wewe kwamba mtu anayejua hawezi kutoa kitu kibovu (anaya-determine ubora mwisho wa siku ni watuamiaji) unless otherwise kiwe kitu original watu wasikielewe hence kukielewa na kukipenda over time
Acha kutumia lugha za kuudhi na kashfa kwa wengine wasiohusika na huu mjadala.Akafanye usanii huko, madakatari wa Tanzania hawakubaliki popote, tulikuwa na dokta mkemia kwanini alicha kusomesha akawa msimamia barabara? Umeshajiuliza sababu zake? Jibu ni simpo tu. Ni makanjanja tu kwenye fani zao.
Ndio nani huyu?"Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini kulinganisha na gharama iliyotumika,hata vijana wetu wa bongo movie wangeweza kutengeneza hii filamu, Tanzania ilishajitangaza,tusijidanganye kwamba Royal tour ndio itaitangaza Serengeti/Mlima Kilimanjaro" Dkt.Vicensia Shule
👇
Hapo hata kushika kamera hajui,anadhani kutengeneza filamu ni Kama kunyoa sehemu za siri
Ni kwanini Rais akiwa Muislamu huwa inageuka nongwa?Promo ya Cocacola ndio imetengenezewa Royal Coca tour?
Kwani tulikuwa hatufanyi promo? Hujui kazi Tanzania tourist board?
Asante mfia dini yetuWewe mwenye uelewa na usiyejichanganya inasikitisha sana kwa uelewa wao wpte umeshindwa kuelewa kuwa watalii wanakuja Tanzania ni kidogo sana ukilinganisha na wanaoweza kuja wakifanyiwa "awareness" na ndicho alichokifanya mama.
Nadhani huelewi kuwa katika dunia Tanzania ndiyo nchi ya pili yenye vivutio vingi na vya kipekee vya utalii lakini watalii wanaokuja ni wachache sana ukilinganisha na nchi zisizo na vibutio.
Naona huelewi kuwa hata nchi jirani zina "promote" vivuytio vya Tanzania viko kwao, kwa uongo tu wanaingiza pesa.
Nyinyi bakini na udini wenu. Hoja zako ni za kijinga kabisa, halafu usije kusema hapa kuwa wewe ni msomi wa chuo kikuu. Uliokujaa ni ujinga tu. Huna zaidi.
Natumaini kwa mnaofahamu mambo haya there is room of lobbying, inawezekana huyo mzungu hayupo vizuri sana kwenye production ya hizi mambo lakini ni lobbyist mzuri na Tanzania si ya kwanza kufanya royal tour.Nimeangalia hiyo RT, imejaa mbwembwe tu. Kitu cha kipekee mle ni kuonyeshwa ikulu na lile ghala lililojaa pembe za ndovu.
Ni bora wangeweka effort kutangaza hii episode ya WELCOME TO EARTH iliyoshutiwa Tanzania.
View attachment 2211228
PS
Mtu kama Will Smith ni ambassador mzuri zaidi kwenye haya maswala kuliko ambavyo mama wa kambo will ever be!
Hebu niwekee movie quality iliyofanywa na waganda...nijaalie na movie aliyofanya bi shule ambayo ni quality...zaidi ya hapo no vyeti tu Kama vya dsj
Kwani Hollywood ni nini?Kwahio haindi kuuzwa Hollywood kama ulivyosema Mwanzo...
Pili hata kina Steven Spielberg Quentin Tarantino, Scorsese, Jonathan Nolan (One of the Best Directors) walishawahi kutoa mashudu...
Hapo hakuna Cha Hollywood Wala mamake Hollywood zaidi ya upigaji!!!Hii NI nji ya mafununu tu!Ubora wa picha wewe inaijua!!?..mtu wa Hollywood atengeneze filamu yenye ubora duni,filamu anoyoenda kuuza Hollywood!?
Wewe ni anti-Samia, hatukuchukulii serious kwenye comments zako.Hoja hapa ni ubora wa Royal tour ya Tanzania. Hata vijana wa Tanzania wangetengeneza ya kiwango hiki. Bil 11 zimepigwa na mafisadi wa Makunduchi
Ahaaaa.Wewe ni anti-Samia, hatukuchukulii serious kwenye comments zako. Ila kama yeye Vicensia yupo ataelewa nimempa kitu kizito
Upigaji wa kitoto sanan umerudi Tanzania.Wewe ni anti-Samia, hatukuchukulii serious kwenye comments zako. Ila kama yeye Vicensia yupo ataelewa nimempa kitu kizito
Sawa basi tengeneza yako tuioneHata sa hivi hakuna anaye pay attention kuiangalia low quality film ya vile. Ni wabongo tu tumerudishiwa mzigo wetu zingine ni porojo tu.
Mnawaza kupigwa tuHapo hakuna Cha Hollywood Wala mamake Hollywood zaidi ya upigaji!!!Hii NI nji ya mafununu tu!