Dkt. Vicencia Shule: Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini. Hata vijana wa bongo movie wangeweza kuitengeneza

Dkt. Vicencia Shule: Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini. Hata vijana wa bongo movie wangeweza kuitengeneza

Akafanye usanii huko, madakatari wa Tanzania hawakubaliki popote, tulikuwa na dokta mkemia kwanini alicha kusomesha akawa msimamia barabara? Umeshajiuliza sababu zake? Jibu ni simpo tu. Ni makanjanja tu kwenye fani zao.

Huyo asituletee usanii uliomshinda. Awaache wasanii natural (mama Samia suluhu) wacheze filamu kwa faida ya Taifa.

Kishabuni kipi huyo na hilo Phd lake? Sijakiona zaidi yachuki za kukosoa kijinga. Ingekuwa Samia ni Kristina tusingemuona akikosoa, angesifia.
Umelogwa

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwahio haindi kuuzwa Hollywood kama ulivyosema Mwanzo...

Pili hata kina Steven Spielberg Quentin Tarantino, Scorsese, Jonathan Nolan (One of the Best Directors) walishawahi kutoa mashudu...

Sio kwamba nasema hii documentary ni Mashudu, bali napingana na wewe kwamba mtu anayejua hawezi kutoa kitu kibovu (anaya-determine ubora mwisho wa siku ni watuamiaji) unless otherwise kiwe kitu original watu wasikielewe hence kukielewa na kukipenda over time
Lete shudu la Tarantino na Spielberg..
 
Akafanye usanii huko, madakatari wa Tanzania hawakubaliki popote, tulikuwa na dokta mkemia kwanini alicha kusomesha akawa msimamia barabara? Umeshajiuliza sababu zake? Jibu ni simpo tu. Ni makanjanja tu kwenye fani zao.
Acha kutumia lugha za kuudhi na kashfa kwa wengine wasiohusika na huu mjadala.
 
Nimeangalia hiyo RT, imejaa mbwembwe tu. Kitu cha kipekee mle ni kuonyeshwa ikulu na lile ghala lililojaa pembe za ndovu.

Ni bora wangeweka effort kutangaza hii episode ya WELCOME TO EARTH iliyoshutiwa Tanzania.

PS
Mtu kama Will Smith ni ambassador mzuri zaidi kwenye haya maswala kuliko ambavyo mama wa kambo will ever be!
 
Hapo hata kushika kamera hajui,anadhani kutengeneza filamu ni Kama kunyoa sehemu za siri

68B0B2FD-84B3-4CC6-AF79-62C787B40366.png
 
Promo ya Cocacola ndio imetengenezewa Royal Coca tour?

Kwani tulikuwa hatufanyi promo? Hujui kazi Tanzania tourist board?
Ni kwanini Rais akiwa Muislamu huwa inageuka nongwa?

Macrusader mkipewa kutawala nchi hii mmejaa roho mbaya, uuwaji na kunukisha dhiki na ufukara raia.

Mama ni mpaka 2030 na tutamuongeza mitano ya shukrani.

Kama hampendi nendeni chato mkalie kwenye kaburi la yule mungu wenu mnyonya damu za watu.
 
Wewe mwenye uelewa na usiyejichanganya inasikitisha sana kwa uelewa wao wpte umeshindwa kuelewa kuwa watalii wanakuja Tanzania ni kidogo sana ukilinganisha na wanaoweza kuja wakifanyiwa "awareness" na ndicho alichokifanya mama.

Nadhani huelewi kuwa katika dunia Tanzania ndiyo nchi ya pili yenye vivutio vingi na vya kipekee vya utalii lakini watalii wanaokuja ni wachache sana ukilinganisha na nchi zisizo na vibutio.

Naona huelewi kuwa hata nchi jirani zina "promote" vivuytio vya Tanzania viko kwao, kwa uongo tu wanaingiza pesa.

Nyinyi bakini na udini wenu. Hoja zako ni za kijinga kabisa, halafu usije kusema hapa kuwa wewe ni msomi wa chuo kikuu. Uliokujaa ni ujinga tu. Huna zaidi.
Asante mfia dini yetu
 
Nimeangalia hiyo RT, imejaa mbwembwe tu. Kitu cha kipekee mle ni kuonyeshwa ikulu na lile ghala lililojaa pembe za ndovu.

Ni bora wangeweka effort kutangaza hii episode ya WELCOME TO EARTH iliyoshutiwa Tanzania.

View attachment 2211228

PS
Mtu kama Will Smith ni ambassador mzuri zaidi kwenye haya maswala kuliko ambavyo mama wa kambo will ever be!
Natumaini kwa mnaofahamu mambo haya there is room of lobbying, inawezekana huyo mzungu hayupo vizuri sana kwenye production ya hizi mambo lakini ni lobbyist mzuri na Tanzania si ya kwanza kufanya royal tour.

Tunahitaji watu wenye positive criticism kushauri what to do.

By the way ukiangalia ile Tbc safari channel bado unaona kuna mapungufu mengi tu ya kukosa vipindi vingi vya vivutio vyetu na wildlife, ni wakati sasa wa kuomba grants ili Tanzanian firm production tufanye wenyewe hizi mambo na tuziuze sisi wenyewe uko Nat geo wild.
 
Kwahio haindi kuuzwa Hollywood kama ulivyosema Mwanzo...

Pili hata kina Steven Spielberg Quentin Tarantino, Scorsese, Jonathan Nolan (One of the Best Directors) walishawahi kutoa mashudu...
Kwani Hollywood ni nini?
 
Ubora wa picha wewe inaijua!!?..mtu wa Hollywood atengeneze filamu yenye ubora duni,filamu anoyoenda kuuza Hollywood!?
Hapo hakuna Cha Hollywood Wala mamake Hollywood zaidi ya upigaji!!!Hii NI nji ya mafununu tu!
 
Hoja hapa ni ubora wa Royal tour ya Tanzania. Hata vijana wa Tanzania wangetengeneza ya kiwango hiki. Bil 11 zimepigwa na mafisadi wa Makunduchi
Wewe ni anti-Samia, hatukuchukulii serious kwenye comments zako.

Ila kama yeye Vicensia yupo ataelewa nimempa kitu kizito
 
Naungana na dkt nisher au adam juma wangefanya vizuri tuu
 
Back
Top Bottom