Faka25
JF-Expert Member
- Sep 14, 2021
- 1,738
- 1,134
UmelogwaAkafanye usanii huko, madakatari wa Tanzania hawakubaliki popote, tulikuwa na dokta mkemia kwanini alicha kusomesha akawa msimamia barabara? Umeshajiuliza sababu zake? Jibu ni simpo tu. Ni makanjanja tu kwenye fani zao.
Huyo asituletee usanii uliomshinda. Awaache wasanii natural (mama Samia suluhu) wacheze filamu kwa faida ya Taifa.
Kishabuni kipi huyo na hilo Phd lake? Sijakiona zaidi yachuki za kukosoa kijinga. Ingekuwa Samia ni Kristina tusingemuona akikosoa, angesifia.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app