mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,773
- 2,183
Mataga mtapata shida sana mwaka hhi. Mama atazidi kuwatimulia vumbi. Jiandaeni kununa!Kwani quality ya filamu huwezi kujua mpaka ushike kamera? Mbona hata tulipokuwa wadogo kuna movie tulikuwa tunaziponda namna zilivyoandaliwa.