Dkt. Vicencia Shule: Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini. Hata vijana wa bongo movie wangeweza kuitengeneza

Dkt. Vicencia Shule: Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini. Hata vijana wa bongo movie wangeweza kuitengeneza

Kwani quality ya filamu huwezi kujua mpaka ushike kamera? Mbona hata tulipokuwa wadogo kuna movie tulikuwa tunaziponda namna zilivyoandaliwa.
Mataga mtapata shida sana mwaka hhi. Mama atazidi kuwatimulia vumbi. Jiandaeni kununa!
 
Poa sio issue tupe jina tutaiftafta CV yake.
By theway Amazon ni platfom ya kuuza vitu aka duka mtandaoni km ilivyo ebay or alliepress na sio movie distribution company ht ww unaweza kujisajili amazon ukauza bongo movie or bidhaa zako huko.
Unazungumzia movie za kinajeria kuuzwa amazon, heb fungua amazon.com then then searchbar andika nigerian movie uone zinavyokuja km zote.
Acha kujifanya unajua while hujui kitu.
Movie umeiona,unaiponda,jina la director hulijui!!?
 
Ubora ni kitu gani tufafanulie.

Muigizaji huwa anapata pesa nyingi baada ya mauzo.

Ila bajeti ya kutengeneza inaweza kuwa ndogo tu.
Hebu tafuta bajeti ya salt au movie yoyote ya Hollywood unayoijua,uone Kama Kuna movie ya maana inayopingua bajeti dola 30m,muigizaji anapewa chake kabisa,hakuna mkopo,ndiyo huwa wanatafutwa investors...na kwa Hollywood wapo tu
 
Mkosoaji mkubwa.....

Dr.Shule anaweza kujikosoa hata jinsi alivyoumbwa.....

Sijui huyu naye yuko katika ile PAYROLL ya hawa watu ?!!!!
ford.png
 
Movie umeiona,unaiponda,jina la director hulijui!!?
Naona Umeishiwa point..anyway next time usijifanye mjuaji while kichwani ni mweupe.
JF is a home of Greak Thinkers sio watu wa hoja nyepesi nyepesi km zako za nigerian movie haziuzwi amazon.
I bet hujui tofauti ya amazon na movies distribution company or hujui Hollywood ni nn unakurupuka tu.
By theway Director ni John Feist. Ss ka mgoogle uone zaidi ya filamu za dizaini ya Royal tour ni filamu gani zaidi ka direct na ana umaarufu kiasi gani.
 
Binafsi na mtazamo tofauti, hata vijana wa bongo wangetengeneza ikawa bora mara kumi, bado isingetimiza lengo!
Filamu inawalenga watalii hasa kutoka Nchi za magharibi, hivyo tunahitaji watu wenye majina makubwa wa huko ili waweze kusikilizwa, ndio unaona mtu maarufu akitajwa na passport yake ikimwelezea kuwa ameandaa filamu hiyo.
Tuwe tunatafakari zaidi na tupime mambo kabla ya kuongea!
 
Naunga mkono. Royal Tour ni ya kishamba. Hata huyo Peter anaonekana mshamba mshamba tu
 
Kuna
Kwa ubora wa uzalishaji Royal Tour wamezingua. Yule Mzungu katika production kafeli analingia tu hiyo connection yake
[/QUOT

Kuna mu Australia mmoja hivi anaweka collections zake you tube za 60s naona alikuwa rafiki wa kambarage simulizi za huyo peter hazitofautiani sana .nikajua itakuwa na quality ya documentary ninazoziona duniani.naunga mkono
 
Angepewa kazi huyu kijana kwanza Ingekuwa bei ya kawaida lakini ubora wa kiogopwa
Screenshot_20220503-231742_Instagram.jpg
Screenshot_20220503-231707_Instagram.jpg
 
Shida yetu ni ileile inayotukumba waafrika wengi hasa tunapokutana na wazungu,hv kweli hiyo filamu ni sahihi kwa mtu kama Rais wetu kwenda na kutumia Bilion 9 kwa ajili ya kitu kama hiki,hv kweli tunakuwa na viongozi wasiojitambua namna hii kweli,Tumuombe sana MUNGU atuondolee Aibu hii kwa nchi.Naona watu wanashabikia hv kweli haya ndio mambo ya kushabikia kweli.Kazi tunayo watanzania.
 
Naona Umeishiwa point..anyway next time usijifanye mjuaji while kichwani ni mweupe.
JF is a home of Greak Thinkers sio watu wa hoja nyepesi nyepesi km zako za nigerian movie haziuzwi amazon.
I bet hujui tofauti ya amazon na movies distribution company or hujui Hollywood ni nn unakurupuka tu.
By theway Director ni John Feist. Ss ka mgoogle uone zaidi ya filamu za dizaini ya Royal tour ni filamu gani zaidi ka direct na ana umaarufu kiasi gani.
Hahahaaaa,so Netflix siyo movie distribution company kwa kuwa ni online!?..bado upo dunia ya DVD!?..kwenye movie Kuna directors wengi..Kama unajua mgawanyo wa directors hebu nitajie!!!...Kama Nigerian movies zi auzwa Hollywood zitakua zimekidhi vigezo na wanunuzi mtakua nyinyi,dirisha lenu hilo
 
We na 4k yako au 16k unahis tz hakuna hebu fatilia kijana anaitwa ngoteya huyu anafanya movie za wanyama cheki kazi zake
John cosmas ngoteya,miaka mitano iliyopita nikimuona alifanya promo national geographic,juzi nikaona kampuni yake imefanikiwa kurusha national grographic
 
Shida yetu ni ileile inayotukumba waafrika wengi hasa tunapokutana na wazungu,hv kweli hiyo filamu ni sahihi kwa mtu kama Rais wetu kwenda na kutumia Bilion 9 kwa ajili ya kitu kama hiki,hv kweli tunakuwa na viongozi wasiojitambua namna hii kweli,Tumuombe sana MUNGU atuondolee Aibu hii kwa nchi.Naona watu wanashabikia hv kweli haya ndio mambo ya kushabikia kweli.Kazi tunayo watanzania.
Producer kafanya hizo Poland,Mexico,Israel,rwanda...ni Emmy award winner pia
 
Back
Top Bottom