Nani kasema hawakufika kwa wakati sahihi ,tena bila wao wangekufa wengi manesi na madaktari walifika haraka sana tena sana ,acha ukilaza binti unaonekana una matatizo ya akiliMbona RC hajawasimamisha kazi madaktari kwa kutokufika eneo la ajali kwa wakati?
Watapinduka,watachchora porini. Hata barabara iweje kama kumejaa wapumbavu barabarani ajali haziishi.Unawawekea separator katikati
Matrafiki kujazana kula rushwa ni kero kwa madereva wengine ambao wastaarabu. Waweke lane separators magari yasikaribiane kama ilivyo sasaTulounga mkono madereva kupunguziwa adhabu barabarani, trafiki kupunguzwa barabarani, tochi kulegezewa mwendo wake wa kumulika watu, madereva kuonewa huruma, sasa tujipongeze kwa kazi nzito ya kuruhusu ajali za barabarani.
Tungekuwa tunawapa adhabu kali madereva , faini zingekuwa kubwa, trafiki wangeendelea kula vichwa vya madera wazembe haya yasingetokea
Tuendeleeni kuomboleza.
Umefanya nicheke kwa sauti mno! Nimekutoa kama panya kwenye shimo!Nani kasema hawakufika kwa wakati sahihi ,tena bila wao wangekufa wengi manesi na madaktari walifika haraka sana tena sana ,acha ukilaza binti unaonekana una matatizo ya akili
USSR
Usiku ndio kutamu kwa kukimbia sababu lami imepoa. Usiku hata ukiwa na tyre za mchongo unafika uendako bila kwere taa na macho yawe vizuri tu.Mkuu mimi ni dereva na naongea kwa experience usiku ni hatari mara 1000 kuliko mchana, watu wengi wamechoka usiku wanatembelea reserved energy, wengi wamevurugwa na macho yao hayawezi kuhimili mwanga wa taa, wengi hukimbia sana bila kuchukua tahadhari, wembamba wa barabara na mashimo, malori yanayopaki bila kuweka alama yeyote, uzoefu mdogo wa madereva wengine, haya yote husababisha ajali sana usiku.
Ni ajali mbaya sana imetokea hapa Kibaigwa Silwa, bado mchakato wa kubaini athari unaendelea.
Nita-updates soon ngoja tuokee watu kwanza.
Kama una ndugu yako alipanda basi hilo kutokea njia ya bukoba kwenda Dar
USSR
===
Ajali imetokea Kijiji cha Silwa, Kata ya Pandambili,Tarafa ya Mlali, Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, baada ya Basi la Frester lenye namba za Usaji T 415 DPP kugongana na lori lililokuwa linatokea Morogoro kwenda Dodoma saa saba Usiku wa kuamkia leo tarehe 9/02/2023.
Ajali hiyo imesababisha Vifo ni 12 ambapo waliofariki ni Wanawake 4 na Wanaume 8. Majeruhi ni 63.
View attachment 2511188View attachment 2511189View attachment 2511190
View attachment 2511398View attachment 2511399View attachment 2511400
Exactly! Iwe gari nyingine inayoanza safari upya kwenye hiyo destination.Hii ni nzuri ila sijaielewa mkuu, halafu kumalizia safari iwe gari nyingine tofauti?.
Hatari Sana Hasa Usiku MwingiUkiwasikiliza watu wanaoahabikia usiku watakupa sababu wabakwepa usumbufu wa polisi na tochi zao, hapa utajua ni watu wa kukimbia hovyo bila kujali alama za barabarani
... usalama kwanza mkuu fedha nini? Safari kama ya Bukoba - Dar more than 1200km sio mchezo; sio abiria, dereva, wahudumu na hata chombo chenyewe kinachoka mbaya ukizingatia na kesho yake over and over again wanageuza!Sahihi Usemacho Lakini Mamlaka Ya Kudhibiti Nauli Nayo Ipo Shida
Dar Es Salaam ~Kagera Nauli 80000/= Moja Kwa Moja Sasa Ukishuka Njiani Usafiri Mpya Shida Tena
Kabisa mkuu!Hio ndio control measure yenye 100% effeciency. Hio ndio itaondosha overtaking za kizembe
... binadamu hujifunza kutokana na makosa; taratibu hubadilika baada ya makosa au changamoto kutokea. Mimi nashauri tu humu mitandaoni; sina nafasi ya maamuzi. Tunapiga tu soga za hapa na pale that simple don't take it serious.Kama kawaida masuluhisho zimamoto kazini.
Hata hivyo tatizo kubwa kwenye ajali hizi ni ujinga yaani elimu duni ya madereva.
Kiwango cha chini cha elimu kuendesha vyombo kama hivi vingekuwa reviewed.
Mfano, kama graduates wanaosaka ajira wangepewa hizi kazi wakalipwa vizuri matatizo haya yangegeuka historia.
Ite iwe hub kuna magari yamekwenda congo, Uganda,Kenya Zambia na n.k cha msingi ni kubadilisha dereva tu niliwahi kutoka Kampala ukifika kahama mtu anamle mwenzake... usalama kwanza mkuu fedha nini? Safari kama ya Bukoba - Dar more than 1200km sio mchezo; sio abiria, dereva, wahudumu na hata chombo chenyewe kinachoka mbaya ukizingatia na kesho yake over and over again wanageuza!
Ukiwa Dodoma pale, saa 11 jioni ndio gari za Mwanza/Bukoba/Kigoma/Musoma - Dar/Mbeya/Songea ndio zinakuwa zinaingia. Unajiuliza huko zinakoenda bado masaa 8 mbele ndio zifike! Utaratibu ungelazimisha Dodoma iwe ndio hub pa abiria kubadili magari; unless zinazovuka hapo total distance haitazidi 800km.
... ni sawa lakini tatizo dereva bado anakuwa ni yule yule gari lile lile. Abiria wanatakiwa wapate completely new environment kwa maana ya gari na dereva. Unless uniambie makampuni wawe na magari mawili linaloleta abiria lifaulishe kwenye gari jingine at the hub.Au gari za abiria zisisafiri zaidi ya masaa 12 kwa siku.
...Umeamini Ushuhuda wa Kijana....??Uko sahihi, nilikuwa naangalia shuhuda moja kwenye channel moja ya kidini ya nje, kijana mdogo anasema alichukuliwa msukule, kwahiyo moja ya kazi walizokuwa wanafanya ni kwenda baadhi ya maeneo na kusababisha ajali, then wanachukua damu na kuwapelekea wahusika ambao wanaishi chini ya bahari.Hii dunia ni zaidi ya unavyoijuwa...
Akiombwa. Na ujue namna ya kumwita Mungu mwenyewe. Wengi wanaongea na mapepo/majini.Mungu anauwezo wa kuzuia lakini?
#YNWA