Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 2,255
- 2,825
UongoUko sahihi, nilikuwa naangalia shuhuda moja kwenye channel moja ya kidini ya nje, kijana mdogo anasema alichukuliwa msukule, kwahiyo moja ya kazi walizokuwa wanafanya ni kwenda baadhi ya maeneo na kusababisha ajali, then wanachukua damu na kuwapelekea wahusika ambao wanaishi chini ya bahari.Hii dunia ni zaidi ya unavyoijuwa...
Nchi imemshindaNi ajali mbaya sana imetokea hapa Kibaigwa Silwa, bado mchakato wa kubaini athari unaendelea.
Nita-updates soon ngoja tuokee watu kwanza...
Unakariri fresta niza kahama tu, zipo znatoka morogoro-bukoba, yapo Barbara ya moro-dar yanazurula tu.Hiyo basi imetoka Kahama saa ngapi ifike kibaigwa mida hii
Inasikitisha sana. Mola awajalie salama waliokuwamo kwenye basi hili.Ni ajali mbaya sana imetokea hapa Kibaigwa Silwa, bado mchakato wa kubaini athari unaendelea.
Nita-updates soon ngoja tuokee watu kwanza...
nimekuudhi usiudhikeUmasukini wa fikra ni kitu kibaya sana.
endesha siku basi umwone mama mzazi mbele na ukospidi ,swali utamgonga au utakwepaAjali Kwa 99.9% ni Uzembe.
Ukitokea Dom ,ukivuka NACO ,kuitafuta gairo Ile ndo kibaigwa (ndani ya Jimbo la kongwa)kulikopelekea kutokea ajali ya waziri mkuu wetu pendwa Sokoine ,mana alipitia kukagua mashamba kwamaelekezoKibaigwa silwa ndio wapi mkuu
RPC Morogoro anasemaje?Ni ajali mbaya sana imetokea hapa Kibaigwa Silwa, bado mchakato wa kubaini athari unaendelea.
Nita-updates soon ngoja tuokee watu kwanza
endesha siku basi umwone mama mzazi mbele na ukospidi ,swali utamgonga au utakwepa
Una uhakika ni Mungu anayeruhusu?Mungu, Kwanini unaruhusu hizi ajali,
Ni binadamu mwenyeweAnayeleta ajali ni shetani au Mungu?
Watu 12 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 50 wamejeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha basi la abiria la kampuni ya Frester lililokuwa likitoka Bukoba kwenda Dar es Salaam kugongana uso kwa uso na Lori lenye shehena ya saruji.
Ajali hiyo imetokea saa sita usiku wa kuamkia leo Februari 9, 2023 katika Kijiji Cha Silwa Pandambili barabara kuu ya Dodoma - Morogoro huku chanzo cha ajali hiyo ikidaiwa ni dereva wa basi kutaka kulipita gari lililokuwa mbele yake bila kuchukua tahadhari
Mkuu wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, Kamishna Awadh Haji amefika eneo la ajali na kutoa rai kwa madereva kuzingatia usalama na sheria za barabarani.
#AzamTVUpdates #AzamNewsView attachment 2511296
View attachment 2511300
Na ukaamini? very sorry to you.Uko sahihi, nilikuwa naangalia shuhuda moja kwenye channel moja ya kidini ya nje, kijana mdogo anasema alichukuliwa msukule, kwahiyo moja ya kazi walizokuwa wanafanya ni kwenda baadhi ya maeneo na kusababisha ajali, then wanachukua damu na kuwapelekea wahusika ambao wanaishi chini ya bahari.Hii dunia ni zaidi ya unavyoijuwa...