Dodoma: 12 wafariki na 63 kujeruhiwa kwenye ajali ya Basi la Frester kogongana na Lori

Dodoma: 12 wafariki na 63 kujeruhiwa kwenye ajali ya Basi la Frester kogongana na Lori

Mkuu mimi ni dereva na naongea kwa experience usiku ni hatari mara 1000 kuliko mchana, watu wengi wamechoka usiku wanatembelea reserved energy, wengi wamevurugwa na macho yao hayawezi kuhimili mwanga wa taa, wengi hukimbia sana bila kuchukua tahadhari, wembamba wa barabara na mashimo, malori yanayopaki bila kuweka alama yeyote, uzoefu mdogo wa madereva wengine, haya yote husababisha ajali sana usiku.
Na mkuu mbona usiku ni rahisi kuliko mchana maana usiku mwenzio akija unaona taa unajua kwamba kuna gari sema inatakiwa umakini tu mimi naona
 
Tuendelee kuwaombea wafiwa Mungu awatie Nguvu MINOCYCLINE Hili popoma litakuja tena lisema kwamba kuna mtu alikuwa ameacha wosia asiletwe DSM akaletwa kwa nguvu ndio maana ajali imeua watu wengi. Kama juzi alivyodanganya kwamba Mrema alikuwa amegoma kusafirishwa Kwenda kwao Kirungu,Mokala Rombo
 
... kuna haja kuangalia hizi long safaris upya. Kwa mfano kusiwe na leseni ya moja kwa moja Dar - Bukoba, Dar - Musoma, Dar - Kigoma, etc. Safari ikishakuwa zaidi ya 800km magari yaishie nearby cities uwe ndio mwisho wa leseni zao. Itasaidia.
Hii ni nzuri ila sijaielewa mkuu, halafu kumalizia safari iwe gari nyingine tofauti?.
 
Au gari za abiria zisisafiri zaidi ya masaa 12 kwa siku.

Saa 12? Kwanini siyo 8, 5, 2 labda hata 1? Kwani ajali inatokea ndani ya muda gani mkuu?

Kwa nini tusiwape graduates waendeshe mabasi na malori haya wakalipwa vizuri tuone?

Hivi mtu wa aina gani anaweza akaendesha gari kabeba watu wengi hivyo akiwa haoni waziwazi anakokwenda?

Hivi mtu anaona miundo mbinu siyo rafiki anakwenda tu bila kujali akiwa anategemea nini kumbe?

Kumbuka gari ina option hadi ya kusimama kama ikibidi.

Kingine mwendo barabarani usizidi 80km/h kwa magari yote.

Tukizingatia haya ajali zitakuwa historia.
 
Ni ajali mbaya sana imetokea hapa Kibaigwa Silwa, bado mchakato wa kubaini athari unaendelea.
Nita-updates soon ngoja tuokee watu kwanza.

Kama una ndugu yako alipanda basi hilo kutokea Kahama mcheki.

USSR

===
Ajali imetokea Kijiji cha Silwa, Kata ya Pandambili,Tarafa ya Mlali, Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, baada ya Basi la Frester lenye namba za Usaji T 415 DPP kugongana na lori lililokuwa linatokea Morogoro kwenda Dodoma saa saba Usiku wa kuamkia leo tarehe 9/02/2023.

Ajali hiyo imesababisha Vifo ni 12 ambapo waliofariki ni Wanawake 4 na Wanaume 8. Majeruhi ni 63.

View attachment 2511188View attachment 2511189View attachment 2511190
Mungu azilaze roho za marehemu wote, wapumzike kwa amani.
 
Mkuu mimi ni dereva na naongea kwa experience usiku ni hatari mara 1000 kuliko mchana, watu wengi wamechoka usiku wanatembelea reserved energy, wengi wamevurugwa na macho yao hayawezi kuhimili mwanga wa taa, wengi hukimbia sana bila kuchukua tahadhari, wembamba wa barabara na mashimo, malori yanayopaki bila kuweka alama yeyote, uzoefu mdogo wa madereva wengine, haya yote husababisha ajali sana usiku.
Ukiwasikiliza watu wanaoahabikia usiku watakupa sababu wabakwepa usumbufu wa polisi na tochi zao, hapa utajua ni watu wa kukimbia hovyo bila kujali alama za barabarani
 
Back
Top Bottom