Dodoma: Basi lililobeba Wabunge wa Tanzania lagonga Lori na kuwajeruhi Wabunge 23

.Hii ni laana ya matumizi mabaya ya Kodi zetu.mbunge anapokea milioni 13/mwezi.unanunuliwa v8,anapata bima ya kutibiwa sehemu yeyote duniani,unagharamiwa Kila kitu lakini wakati huohuo wabunge wakapendekeza mwalimu wa shahada alipwe laki tatu Kwa anayeanza.
 
Watademand kuanza kusafiri kwa ndege, kisingizio ni ajali ambayo huenda chanzo ni wao walikuwa wanamcontrol dereva
 
Poleni waheshimiwa Mungu awajalie mpone kwa haraka safari si njema kwenu
 
Wabunge wanasafirije kwenye gari moja kama kumbikumbi?
Kila siku nasema tatizo la hii nchi wala sio Walamba Asali bali ni utamaduni uliojengeka kwamba ukiwa Mbunge au Kiongozi unakuwa mtawala na kuishi tofauti na wengine (Kama wananchi wanapanda hata baiskeli na wengine kutembea kwa miguu au kusafiri kwa malori) hao watumishi wao ni kina nani wasipande usafiri ambao ni wa Majority ?!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…