Dodoma: Basi lililobeba Wabunge wa Tanzania lagonga Lori na kuwajeruhi Wabunge 23

Dodoma: Basi lililobeba Wabunge wa Tanzania lagonga Lori na kuwajeruhi Wabunge 23

Moja ya basi lililokuwa limewabeba Waheshimiwa Wabunge wanaoelekea kwenye Mashindano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki limepata ajali ya kugongana na lori la mizigo maeneo ya Mbande Kongwa asubuhi hii.

Majeruhi wa ajali hiyo wamekimbizwa Hospitali ya Uhuru na Hospitali ya Benjamini Mkapa za Mkoani Dodoma.

========

Baadhi ya wabunge waliokuwa wanasafiri kuelekea Mombasa Kenya kushiriki mashindano ya 14 ya Mabunge ya Afrika Mashariki, wamepata ajali katika eneo la Mbande mkoani Dodoma baada ya Basi waliokuwa wakisafiria kugongana na Lori.
Hawana faida kwa nchi na wananchi wake zaidi ya tumbo zao na familia zao
 
Moja ya basi lililokuwa limewabeba Waheshimiwa Wabunge wanaoelekea kwenye Mashindano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki limepata ajali ya kugongana na lori la mizigo maeneo ya Mbande Kongwa asubuhi hii.

Majeruhi wa ajali hiyo wamekimbizwa Hospitali ya Uhuru na Hospitali ya Benjamini Mkapa za Mkoani Dodoma.

========

Baadhi ya wabunge waliokuwa wanasafiri kuelekea Mombasa Kenya kushiriki mashindano ya 14 ya Mabunge ya Afrika Mashariki, wamepata ajali katika eneo la Mbande mkoani Dodoma baada ya Basi waliokuwa wakisafiria kugongana na Lori.
wameonja joto ya jiwe! daa shabiby anataka kutoa kafara hadi wabunge wenzie
 
Kama taifa tupo kwenye peak moja ya chuki kali sana na CCM wakiwa smart watajifunza kitu.

Yaani uzi una viewers 1K na post 82 lakini hakuna hata mmoja ktk walioupitia aliyeweka emoji ya “masikitiko” hii ni hatari sana.View attachment 3170333
Kenge ni jeuri na kamwe hajifunzi,siku akikumbuka kujifunza ndio anakata roho.
 
Nimesikitishwa sana na taarifa hii....mola awafanyie wepesi..... insha'Allah.....
1002335978.jpg
 
Kwa muonekano wa hii ajali (bus imekula mbele kwa dereva na lorry nyuma upande wa dereva pia) hapo nashindwa kuimagine scenario ilikuwaje.

Yani imagination inaniambia dereva wa bus alitaka kuanza ku overtake gari iliyokuwa mbele yake huku lorry likitokea upande wa tofauti na bus lake ila akakosea makadirio akajikuta ameshatoa chuma sekunde kadhaa kabla hajapishana kabisa na lorry ndio maana ameligonga kwa sehemu ya nyuma upande wa kulia (angalia mpact inaonekana lorry limepigwa kuelekea nyuma ndio maana hata mlango umejikunywa kurudi nyuma) na yeye dereva bus lake likapata majeraha upande wake wa kulia. Sioni explanation ya tofauti hapo na mwendo kasi lazima ndio chanzo.

Wataalamu wa barabarani hebu nirekebisheni.
Upo Sahihi....
Dereva wa bus amezingua hapo alikuwa anaovertake na akashindwa kumaliza, hiyo ajali ilikuwa uso Kwa uso na gari la upande wa pili
 
Kumuombea mtu afikwe na jambo Baya hakukufanyi wewe uliye mzima uwe katika watu Bora walio wazima.
Uzima wetu ni Neema tu ya Mungu na si kama tumefanya mema kuliko waliyopata Ajali au waliokufa.

Kikubwa tuwaombee wapone haraka, na Mungu atu jaalie tuwe na mwisho mwema pindi atakapo tuita kwake kusubiri hukumu zetu.
Maneno mengi ya nini wewe ukiwaombea inatosha,

wakati wakiiba kura za wenzao huwa wanawaombea mema.
 
Back
Top Bottom