John Fedha
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 624
- 717
Vipi Mpaka sasa hakuna habari yoyote nzuri?
Kama tunasafirisha ama tunazika hapa hapa.
Kama tunasafirisha ama tunazika hapa hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndugulile anataka kwenda na wenzakeVipi Mpaka sasa hakuna habari yoyote nzuri?
Kama tunasafirsha ama tunazika hapa hapa.
Wanatangazwa kuwa wameshinda kwa amri ya Mwenyekiti wao.Lakini utashangaa kwenye uchaguzi watashinda kwa kishindo. Nani huwa anawachagua?
Halafu wakitembelea kwenye lc 300 zao mnaanza maneno....ila waTz basi tuWabunge wanasafirije kwenye gari moja kama kumbikumbi?
Kuna jambo Mungu anajaribu kutufunulia
Poleni sana wawakilishi wetu, Mungu awape sia njema kwa wale mliopata mushikeli..!
Hawatuli kila siku matamsha mara syo michezo blah blahDuh, Wabunge waachane na mambo ya michezo, wana kazi nyingi za kuwahudumia wananchi wao.
Ndy mambo wanayoyajuwaWabunge wanakwenda Kenya kucheza michezo, ina maana Dodoma nzima haina viwanja vya michezo wala timu za kushindana nazo?.... Malipo ni hapa hapa Duniani
dere ametuangusha umeshindwa kurenga mura!!Moja ya basi lililokuwa limewabeba Waheshimiwa Wabunge wanaoelekea kwenye Mashindano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki limepata ajali ya kugongana na lori la mizigo maeneo ya Mbande Kongwa asubuhi hii.
Majeruhi wa ajali hiyo wamekimbizwa Hospitali ya Uhuru na Hospitali ya Benjamini Mkapa za Mkoani Dodoma.
========
Baadhi ya wabunge waliokuwa wanasafiri kuelekea Mombasa Kenya kushiriki mashindano ya 14 ya Mabunge ya Afrika Mashariki, wamepata ajali katika eneo la Mbande mkoani Dodoma baada ya Basi waliokuwa wakisafiria kugongana na Lori.
Hawa jamaa hawastahili kuishi. Mungu ani samehe lakini wange left inge kuwa bkra zaidi. Ccm ime tufanya sisi ni wajinga na wao ndio wanao stahili kutawala na kufaidi hii nchi. Acha chuki iwe ya dhahiri🙄🙄Mkuu unaulizia vifo Tena!
Toeni namba ya dereva tuanze kumchangiaMoja ya basi lililokuwa limewabeba Waheshimiwa Wabunge wanaoelekea kwenye Mashindano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki limepata ajali ya kugongana na lori la mizigo maeneo ya Mbande Kongwa asubuhi hii.
Majeruhi wa ajali hiyo wamekimbizwa Hospitali ya Uhuru na Hospitali ya Benjamini Mkapa za Mkoani Dodoma.
========
Baadhi ya wabunge waliokuwa wanasafiri kuelekea Mombasa Kenya kushiriki mashindano ya 14 ya Mabunge ya Afrika Mashariki, wamepata ajali katika eneo la Mbande mkoani Dodoma baada ya Basi waliokuwa wakisafiria kugongana na Lori.
Unamaanisha angeingia nalo mtoni au!Huyo dereva wa hilo basi naye fala sana.
Uhuru wa maoni ya mtu uheshimiweWivu utakuua halafu ukiishi hvyo kama unavyoishi maisha yako ya hapa dunian utaishi kwa shida sana hata ukiwa na utajiri utaishi kwa shida huo ni wivu tu unakusumbua halafu kama ww ni mwanaume basi unafeli sana
Kwa nini sasa hawakufariki wote waliokuwemo ndani ya hilo basi!Moja ya basi lililokuwa limewabeba Waheshimiwa Wabunge wanaoelekea kwenye Mashindano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki limepata ajali ya kugongana na lori la mizigo maeneo ya Mbande Kongwa asubuhi hii.