Dodoma: CCM yaitisha viongozi wake wote nchi nzima kuanzia Dec 07

Hapana haziwezifika mkuu wangu Etwege ,CCM ni Chama makini sana na chenye Nidhamu kubwa ya fedha,

Ni hii ikusaidie kugha'mua kwani CHADEMA pamoja na maruzuku yote hawakufanikiwa kujenga hata HQ yao

CHADEMA imeingiaje?. Jamaa yako wa CCM kakujibu wewe unakimbilia Ruzuku ya CHADEMA. Nendeni mkalipe deni la watu huko udachi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…