Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Kwamba bajaji sio usafir wa dodoma sabab dodoma inamtandao mpana wa barabara za lami ?
 
Umemaliza?
 
Ila shule ina mandhari nzuri. Naupenda ukijani!
Hiyo shule ni nzuri balaa na Ina miundombinu ya Viwanja aina zote kuanzia tennis Hadi ule mchezo wanaopenda wahindi nimeusahau jina.

Watoto wakali walikuwa wakitoka Mikoa mingine wanafikia hapo shuleni kulikuwa na mabweni ya kukodi kama kitega uchumi.

Ukiwa shule unaenda darasani,bwenini ,bwaloni bila kukanyaga udongo walk away zipo na zimeezekwa safi kama kwenye hospital(Walitengeneza hizo njia Kwa sababu Karatu Ina udongo wa kunata hatari)

Hii ilikuwa shule ya Kanisa la KKKT zamani na jirani yake hapo Kuna Hospital nayo ya Kanisa ambayo ilikuwa inatumika kama Hospital ya Wilaya..

Ila.sasa hii ni shule ya kilimo.kuna mashamba balaa na matrekta kama kawaida
 
Kama mleta maada hii ni "the sunk cost fallacy" mwenye a.k.a yake "choice variable", basi mtakesha maana Huwa wenge lake linakuwaga la msimu. Mjue tupo kipindi Cha ubaridi lazima ukute hitilafu kwenye cerebellum. Nendeni Naye taratibu hachelewi kusema njombe ni nzuri kuliko Moshi.
 
Kwamba bajaji sio usafir wa dodoma sabab dodoma inamtandao mpana wa barabara za lami ?
Ni usafiri ila unatumika kwa kiwango kidogo sio kama jamaa anavyodai shukrani kutokana na mipango miji na mtandao mpana wa barabara za lami Dodoma.Angalia miji yenye idadi kubwa ya bajaji kwamfano Mbeya barabara za lami ni changamoto kubwa.
 
Ni usafiri ila unatumika kwa kiwango kidogo sio kama jamaa anavyodai shukrani kutokana na mipango miji na mtandao mpana wa barabara za lami Dodoma.Angalia miji yenye idadi kubwa ya bajaji kwamfano Mbeya barabara za lami ni changamoto kubwa.
Shukran kwa kuitaja mbeya ,ukitoa GDP mbeya ni stand ya SAULI. Ila mwanza hizo baiskel zipo wapi?
 
Kwani wapi nimesema naijua vizuri? Kwanza sihitaji kujua Kila pande ya Mji.

Mfano wewe unaijua Mbeya yote?
 
Haya yanayoendelea dodoma yalishafanyika Arusha miaka 10 back
Ila sasa hivi Arachuga yetu imechakaa sana. Vijana pale Sakina Mataa wanakula Shisha na Nyagi kwa kwenda mbele baa ya Boss. Dodoma sasa hivi inakimbiza sana. Baada ya miaka 10 ijayo itakuwa habari ya mjini.

Mziki mpya kuhusu Arachuga umeusikia? Kautafute fasta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…