Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Miradi yenu yote humu mnaihusisha Tz. Nyie mbona tukiwaonyesha ya huku mnalialia. Sio kawaida yetu kuleta projects zetu huku ila ninyi mnatulazimu tufanye hivyo.Pelekeni huko kwenu. Sisi miradi zetu hatuziposti kwenye jukwaa zenu sasa mbona mnatuletea upupu wenu huku? Ama ni inferiority complex? Yaani lazima uringie jirani ndio uhisi vizuri? Grow up. Hata mods wenu naona wako immature sana. Threads kama hizi ambazo hazina uhusiano na Kenya zinastahili kugongwa na kung'olewa kabisa na kutupwa kwenye nyuzi za mapenzi na mapambo katika sekshen ya Tanzania.
Kwa hivyo tukiwacha kuwataja mtawacha kuleta miradi zenu huku?Miradi yenu yote humu mnaihusisha Tz. Nyie mbona tukiwaonyesha ya huku mnalialia. Sio kawaida yetu kuleta projects zetu huku ila ninyi mnatulazimu tufanye hivyo.
Wewe uthibitisho huna hakuna awamu iliyojitahidi kwenye sekta ya afya kama hii.Gharama za mastendi ni kubwa mno kuli.
Pesa iliyokuwa ommitted kwenye mastendi na miradi ya dizaini hiyo kwa lugha ya miradi ya kimkakati ni nyingi sana kuliko iliyopelekwa kwenye vituo vya afya. Complications kwenye stend na gharama kubwa hivyo ni za nini? watu wajifunze optimal allocations of resources.
Siku hizi kumezuka wizi mpya wa kutoza watu pesa kuingia stend au kuzuia malori kuingia mjini kwamba ukitaka kuingia mjini ulipe pesa, logic ya kitu hiki ni nini hasa?
Ndiyo ila nafahamu hamuwezi acha.Kwa hivyo tukiwacha kuwataja mtawacha kuleta miradi zenu huku?
Uthibitisho wa kitu gani? Si usome bajeti za tamisemi kuna majibu hapo au? Swala si kujitahidi swala ni kufanya inavyotakiwa kwenye huduma za msingi za jamii ndio mambo mengine yaendelee, ilani ya chama ilikuwa ni kituo cha afya kila kata na zahanati kila kijiji sasa viko wapi.Councils ziko busy kushindana kujenga mastendi na masoko makubwa makubwa wakati hata sio kipaombele cha wananchi, ukiuliza utaambiwa ni mradi wa kimkakati eti serikali inajenga kitega uchumi.Wewe uthibitisho huna hakuna awamu iliyojitahidi kwenye sekta ya afya kama hii.
Na mikojo kwenye kona kona ya bomba na kuta.Civilization bado inatupiga chenga nenda after few weeks utakuta ama maji hayatoki au tap zimechomolewa
So hizo halmashauri zinazojenga stendi na masoko hazina hospitali?Uthibitisho wa kitu gani? si usome bajeti za tamisemi kuna majibu hapo au? swala si kujitahidi swala ni kufanya inavyotakiwa kwenye huduma za msingi za jamii ndio mambo mengine yaendelee.Councils ziko busy kushindana kujenga mastendi na masoko makubwa makubwa wakati hata sio kipaUmbele cha wananchi, ukiuliza utaambiwa ni mradi wa kimkakati eti serikali inajenga kitega uchumi.
Unatakiwa kufahamu kwamba hakuna ustaarabu kwenye jamii maskini na iliyojaa ujinga kama bongo hapa,ndio maana hata siasa watu wanachagua anayewahonga na wananchi wanaona serikali kutekeleza wajibu wake ni kama hisani ndio maana unaona pambio haziishi.Na mikojo kwenye kona kona ya bomba na kuta
Mtu mweusi anapaswa kufunzwa ustaarabu kwanza na kuondolewa tongotongo kabla ya kupatiwa maendeleo.
Huyu ndio alikuwa Mungu wa Wakenya aliyeitwa Jehova Wanyonyi.Miradi yenu yote humu mnaihusisha Tz.Nyie mbona tukiwaonyesha ya huku mnalialia.Sio kawaida yetu kuleta projects zetu huku ila ninyi mnatulazimu tufanye hivyo.
We nae karibu nakupuuza,umewahi enda hata hospital moja ya serikali ukaona misongamano ya wagonjwa ilivyo? Nimekwambia sera ya afya na hata kwenye ilani ya CCM ya 2015-2020 ilikuwa ni kituo cha afya kila kata na zahanati kila kijiji, viko wapi? Kwa akili yako unadhani vituo vya afya vilivyojengwa vimeondoa tatizo? Unajua uwiano wa vituo vya huduma na idadi ya watu ulivyo au unakurupuka tuu, kwa hiyo kwako mbio za mastendi na masoko ya gharama ni sahihi kuliko huduma za msingi?So hizo halmashauri zinazojenga stendi na masoko hazina hospitali?
Geza Ulole ana mapenzi sana na Kenya hata kushinda mke wake na sioni akituwacha salama. Lazima tu aje huku kuturingia.Ndiyo ila nafahamu hamuwezi acha.
Huwez kutatua shida zote ila kinachotakiwa sehem kubwa ya changamoto uwe umeitatua hata marekani inayojifanya kusaidia nchi kibao bado ina shida ndogo ndogo Kwa wananchi wake kibao sasa hiyo ni asili haiepukiki shida azihishi ila Kwa mtu asiekua na akili ndio anaeweza kusema Magufuli hajafanya kitu kwasababu hizi ndogo ndogo zinazotokea .mfano mdogo jaribu kutatua shida ya wazazi wako nyumbani yani familia uliozaliwa nayo kama mama, Baba, dada ,wadogo zako halafu utaona kitakachotokea kila unapojitahidi humalize shida za familia utaona shida zipo pale pale na kila cku zinazuka mpya na kubwa na zamuhimu kuliko za Jana na juzi halafu kama utakua na ufaham utaelewa nini namaanisha.Jana mkuu anapita kwenye tren watu wanalilia maji na shule ikabidi aanzishe harambee kuchangisha pesa.Mjifunze vipaombele vya kumsaidia mwananchi hamjengi hayo kwa faida ya mbuzi na muache miradi ya show off..sasa barabara ya lami ya nini kama hakuna hospital .Unakuta barabara zikijengewa mitaro zinapitika saafi lakini mnataka kuweka lami wakati hakuna maji nk nk sasa watu wawaeleweje
Civilization haiji kwenye sahani.Civilization bado inatupiga chenga nenda after few weeks utakuta ama maji hayatoki au tap zimechomolewa
We jamaa nakujibu kwa mara ya mwisho cz niliamua kukupuuza mana ww ni pessimistic wa hali ya juu usiyeweza kushukuru hata kwa kidogo ulichonacho, ni hv changamoto hazijawahi kuisha kwa mwanadamu, nenda popote duniani hata Marekani kuna changamoto katika sekta ya afya, lkn nimekushusha zaidi na natamani hata nisingelikuwa naziona post zako co kwasabu unapinga la hasha bali ww ni mpuuzi sana ur arguments do not hold any water, wapo wengi huwa wanapinga lkn mtu unaona huyu anachoongea kinaleta tija, huwezi ukakosoa ujenzi wa masoko na miundombinu mingine eti kisa sekta ya afya bado haijamaliziwa mahitaji yake tng lini mahitaji ya mwanadamu yakaisha? Kwny uchumi huwa tunasema human wants are unlimited but resources are scarce, unataka vipaombele viwekwe kwenye ujenzi wa vituo vya afya tu je hyo pesa ya kwenda huko kwenye vituo vya afya utawapa ww hao wananchi?we nae karibu nakupuuza,umewahi enda hata hospital moja ya serikali ukaona misongamano ya wagonjwa ilivyo? Nimekwambia sera ya afya na hata kwenye ilani ya ccm ya 2015-2020 ilikuwa ni kituo cha afya kila kata na zahanati kila kijiji,viko wapi?
Kwa akili yako unadhani vituo vya afya vilivyojengwa vimeondoa tatizo? unajua uwiano wa vituo vya huduma na idadi ya watu ulivyo au unakurupuka tuu,kwa hiyo kwako mbio za mastendi na masoko ya gharama ni sahihi kuliko huduma za msingi?
[emoji849][emoji848][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Da nimecheka kweli leo , naona unatokwa na povu utazani kuna mtu kakushika makalio leo hii ndio unaona zingeng'olewa na kutupwa huko !!kweli tushawashika kunako mumeishiwa hoja tatizo Kenya munalingia mijengo ya mkoroni Uhuru hamna kipya anachofanya baraka ya mapambio tu.Pelekeni huko kwenu. Sisi miradi zetu hatuziposti kwenye jukwaa zenu sasa mbona mnatuletea upupu wenu huku? Ama ni inferiority complex? Yaani lazima uringie jirani ndio uhisi vizuri? Grow up. Hata mods wenu naona wako immature sana.
Threads kama hizi ambazo hazina uhusiano na Kenya zinastahili kugongwa na kung'olewa kabisa na kutupwa kwenye nyuzi za mapenzi na mapambo katika sekshen ya Tanzania.
Sasa vituo vya afya si vinaendelea kujengwa wewe. Na ujenzi wa vituo vya afya unaenda sambamba ujenzi wa miundombinu mingine.Au ulitaka tujenge vituo vya afya pekee awamu yote? Aliyekwambia kero ya wananchi ni afya pekee nani? Yaani wewe ni kama unalalamika JNIA wasijenge Terminal III halafu fedha zote wajenge vituo vya afya. Unakuwa kituko sasa.we nae karibu nakupuuza,umewahi enda hata hospital moja ya serikali ukaona misongamano ya wagonjwa ilivyo? Nimekwambia sera ya afya na hata kwenye ilani ya ccm ya 2015-2020 ilikuwa ni kituo cha afya kila kata na zahanati kila kijiji,viko wapi? Kwa akili yako unadhani vituo vya afya vilivyojengwa vimeondoa tatizo? unajua uwiano wa vituo vya huduma na idadi ya watu ulivyo au unakurupuka tuu,kwa hiyo kwako mbio za mastendi na masoko ya gharama ni sahihi kuliko huduma za msingi?
Mkenya imemuuma, leta Stand Kenya nzima.hivi Dodoma ipo Kenya?
Wameanza kutii [emoji3][emoji3][emoji3][emoji849][emoji848][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Da nimecheka kweli leo , naona unatokwa na povu utazani kuna mtu kakushika makalio leo hii ndio unaona zingeng'olewa na kutupwa huko !!kweli tushawashika kunako mumeishiwa hoja tatizo Kenya munalingia mijengo ya mkoroni Uhuru hamna kipya anachofanya baraka ya mapambio tu