Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Umeulizwa unaishi wapi umetoa povu tupu. Mimi sikai arusha na wala sio mwenyeji wa huko.
Unataka kujua ili iweje njoo nikupe namba uchek location sikai sehemu zenu za ubaguzi nakaa watu waliostaarabika nikapunga upepo bahari !! Unatakaje? Tunaongea uhalisia unaleta mbwembwe
 
Niambie ukitoa dar mji gani ulijenga maukumbi na mahotel kwa kutarget watanzania kama sio watalii?
Nenda kagera bukoba ipo linas night club....nenda geita ibo bivver night club.....nenda moshi mjini ipo redstone night club....nenda tabora mjini ipo oxygen night club hapa nimejaribu kukutajia ile miji ambayo wewe unaiyona ni ya hovyoo.....huko zipo night club na hotel ambazo unakuta wateja wake ni watu wa kawaida sio hao wazungu au waarabu
 
Unataka kujua ili iweje njoo nikupe namba uchek location sikai sehemu zenu za ubaguzi nakaa watu waliostaarabika nikapunga upepo bahari !! Unatakaje? Tunaongea uhalisia unaleta mbwembwe
Acha mbwembwe hapa, eleza hapo kanda ya ziwa unakaa maeneo gani.
 
Hizo ni halmashauri tu na labda juu sana ni manispaa lakini sio zaidi ya hapo. Vigezo viboreshwe ili nchi itoe hadhi ya mahali kulingana na uhalisia.
Hapo umechanganya madesa mzee, labda ulikusudia kusema ziwe manispaa sio ziwe halmashauri.

Kuna Halmashauri ya kijiji, ya mji mdogo, ya mji, ya manispaa , ya wilaya, ya jiji etc.
 
Hapo umechanganya madesa mzee, labda ulikusudia kusema ziwe manispaa sio ziwe halmashauri.

Kuna Halmashauri ya kijiji, ya mji mdogo, ya mji, ya manispaa , ya wilaya, ya jiji etc.
Nashukuru kwa kurekebisha mkuu.. basi hizo ziitwe halmashauri za vijiji vikubwa maana sio kwa uchafu ule.🀣
 
Acheni uvivu watu wanakaa Jangwani na wanaendelea...

Nyie dar kisa kuna mihogo ya kukaanga ndio mnataka kusema sehemu zingine hazijaendelea
 
Sasa ni za kiwango gani? Unaeongelea vibar njaa so Serena hotel ni kwa ajili ya wabongo? Tunaongelea kitu Zina fully comfort nyota 5 unaeongelea vilabu vya pombe ivyo vya uswahilini
 
Un
unaelewa kani maana ya halmashauri au ndo tukuache kwanza?
 
Umetumia kigezo gani???

Unahisi kigezo walichotumia kuwapa kuwa majiji unahisi hazikuwa sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…