Dodoma: Mmiliki wa Shule na Mkurugenzi Islamic Foundation akutwa ameuawa kinyama ofisini kwake

Status
Not open for further replies.
Jamani aliyekufa hafi tena zamu yake imepita inabaki kwa tulio hai.Humu Jf Kuna watu wa Aina mbalimbali na hatujuani.Hivyo mtu anapofariki tukumbuke humu Kuna familia yake pia.Kabla hatujacomment hebu tufikiri Kwanza tusiwe watu wa kujitoa ufahamu.Iwe mtu kafa kwasababu yoyote Ile Bado alikuwa ni binadamu na hakustahili kuwa na mwisho huo.Mnaoleta Habari za uume na Mambo ya hawara sijui mke hebu kuweni na akiba ya maneno.Na mkizidi kulipa nguvu hilo mnaloamini mtafanya Kila anayetaka kuua kwasababu zake akimbilie kuathiri sehemu za uzazi akijua wenye mawazo rahisi mtageuza msiba kuwa jokes.Wewe ni Nani hadi ujihesabie haki?Acheni jamani.Kwani wangekata mguu mkekimbilia kusema alikuwa mwizi wa viatu vya watu??Badilikeni Acheni viburi vya uzima.Ukiona yamemfika mwingine piga goti shukuru Mungu maana hujui siku na kifo chako.Kuuawa si mpaka utembee na mke/mume wa mtu.Chuki za kazi / biashara tu zinaweza fanya mtu akutie chupa ya wanzuki sehemu za uzazi.Wapenda utani kwenye Mambo Kama haya badilikeni.Omba Mungu Sana.SAMAHANI KWA GAZETI SIKUWA NA NAMNA NYINGINE.
 
Hilo hata mm nalifikiria, maana pale nje kuna wauza Magazeti na wachonga Mihuri huwezi ingia Ofisini kwake bila ya wao kukuona au kukupisha njia, hivyo aliingia Ofisini kwake kwa amani na huenda walimkuta humo humo, pia kuna ofisi nyingine ambazo wanaweza kuwasikia labda isiwe siku ya kazi.
Nakumbuka alikuwa na Kesi moja ya kugombea shule za wafadhili karibu na Mapinduzi Club, ilihchukua miaka akamwangusha mwenzake, sasa hiyo Dalai na mengine yakaanzishwa.
kweli Marehemu alikuwa mstaarabu na nahisi ni Askari Polisi mstaafu
Tuwaachie wenyewe hapo anakamatika mtu haupiti mwezi km mawasiliano yatafuatiliwa kati ya simu zake
HUWAZI KIJINGA nalo ni suspicious (that something might be true. . )
 
Huyo mke wa Jirani yako alikueleza kwamba uume wa baba mkwe ulikuwa na majeraha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tujikite kutafsiri maana ya KUUKATA UUME. Inawezekana wakati anakuja Dar kumwakilisha Shekh wa Dodoma aliondoka na mke wa mtu. Inawezekana wamekaa huku wakiinjoy na baada ya kurudi Dodoma akaamua wamalizie mambo yao ofisini.
KANZU SAFI BILA DOA: Nini maana yake, hii inaweza kutoa tafsiri kwamba huenda walimkuta akiwa mtupu wakikamilisha mambo yao na huyo mke wa mtu. Kwasababu kama walimvua kwa nguvu lazima ingechanika au kuchafuka sana kuashiria kuwa kulikuwa na pata shika nguo kuchanika.
Kwa kweli sisi Watanzania tumepoteza TUNU YA AMANI tunamfuata SHETANI. Ni ukatili wa aina yake na iweje jengo lote iwe ni yeye tu alikuwepo siku hiyo?
Je hakuna kitu au kifaa chochote kilikuwepo eneo la tukio wakichunguza kama kuna alama za vidole. Kiti alichokalia, kamba walizomfungia kama meza ipo je haijaguswa kwa mikono ya hao wahalifu? Mawasiliano ya simu yakoje. Kama simu alikutwa nayo je haina fingerprint ngeni!? Kuta za ofisi hakua alama za vidole? Mlango hauna alama za vidole.

Je hakuna specimen zinazoweza kutunzwa katika DNA kwa kuwanasa wahalifu hao baadaye, chunguzeni kanzu yake nani alimvua je hakuna alama za vidole vigeni.
Hata kama mtu ametenda kosa kubwa kiasi gani thamani kubwa ni msamaha, nafsi zitawasuta wauaji hao. Mungu MSAMEHE marehemu ipokee roho yake, Amina.
 
Asasi yake inaitwa Dalai Islamic Centre
 
this is the reson
 

Jr[emoji769]
 
Ilikuwaje hii?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mauaji ya namna hiyo kuna uwezekano mkubwa mkurugenzi alikuwa mzinifu anatembea na mke au kimada wa mtu
Kama ingekuwa maswala ya siasa au itikadi za kidini asingeuwawa kwa namna hiyo.
Mkuu... watu wanaua na kufanya mauaji yaonekane vingine kabisa...sio kila muuaji anataka utafsiri unavyotaka...
 
Marekani kuna cases nyingi hazipati majibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asasi yake inaitwa Dalai Islamic Centre
Ni vyema jina la hiyo asasi likawekwa sawa kwani kuna waliosema ni Islamic Foundation pengine kwa chuki zao kwa hiyo taasisi au hawajui taasisi nyengine ya kiislamu mbali ya hiyo na Bakwata.
 
Habari za upande wa pili hasa wanaoshinda nje ya hizo ofisi, ni kuwa aliingia na mwana mama, na ndiye aliyetoka peke yake, sasa changanya na safari ya Basi au kamtoa mitaani
Lakini hakukatwa wala kuibiwa simu wala hela zimekutwa
hakufungwa na abdala kichwa wazi hajakatwa ila kavishwa condo, joho pembeni, ila fulana kaivusha kisogoni
wanahisi alitumia vumbi la Congo na sildenafil dose ndio ilimzimisha
tuwaachie wenyewe R.I.P.
cc stella1975
 
Duuh,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…