Dodoma: Mzee Mangula ulichomfanyia Dkt. Kikwete, Mungu anakuona

Unakumbuka kikwete alimfanya nini mwaka 2005 Huyu mzee! Afadhali kalipiza kidogo
 
Kama kitu hujui, nyamaza
 
Hii Upo sawa na nchi itazama kwa ufisadi, ila 2025 subiri muziki wake
 
Kikwete na Nyerere ndio wanasiasa pekee waliofanikiwa kujiweka madarakani kwa uwezo wao binafsi.
Najiuliza kule kupelekwa kusomea siasa nchini China kutoka Jeshini alipelekwa peke yake?
 
Hiyo ni tafsiri yako, na uwezekano mkubwa ni tafsiri potofu.

Matukio kama haya, mtu wa kuongea huwa anajulikana toka mapema.
 
Hapo sasa.
Ndiyo ujue watu walijifunza methali bila kujua maana yake ni nini?
Inasikitisha sana.

Wengine wanaweza kuona Kiranga kaandika "Mambo ya Ngoswe muachie Ngoswe mwenyewe" kwenye thread ya kumsimanga Irene Uwoya anavyolea mtoto wake wa kiume kuwa nyoronyoro (kitu ambacho nimefanya jana hapa, nimeiandika hiyo methali kwa muktadha huo), wanaiga hiyo methali kwenye thread ya CCM inavyoendesha nchi.

Muktadha tofauti, mustakabali tofauti.
 
Kwanini unatumia nguvu nyingi sana kumtetea?,wakati kiukweli kapaushwa?,haya si mahaba, ni ugonjwa huu
 
CCM ni chama tawala kinachokupangia maisha yako Mtanzania.

Usijidanganye kwamba mambo ya CCM hayakuhusu.
Sawa ila kwa hili la mleta mada mada hapo juu acha liwahusu wao wenyewe.
 
Sawa ila kwa hili la mleta mada mada hapo juu acha liwahusu wao wenyewe.
Hapa unaweza kulishwa matangopori yaliyojaa umbea kuliko facts vilevile.

Ukashangilia na kushabikia sinema za kupangwa, wakati watu walewale wanapiga miamala mirefu kwa sarakasi zilizotajwa na mshairi-mchekeshaji Juvenal wa Warumi wa kale.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…