Dodoma: Mzee Mangula ulichomfanyia Dkt. Kikwete, Mungu anakuona

Ila ccm bwana,sijui nini kiliwakuta kipindi mwendazake bado betri yake iko full charge

Alikuwa amewanyamazisha wote kimya,sio Kikwete,sio Mangula,siyo Lowassa,siyo Pinda
Eti sasa hivi wanataka kuongeaaaaaaaaaaaaaàaaaaaaaaaaa
 
Mjinga ni wewe unayeabudu mlewa konyagi Dj mwenyekiti wa milele unayedhani ipo siku atakutoa kwenye lindi la umasikini ulionao
Tulia wewe lazima huu upuuzi wenu tukemee kwa nguvu zote
 
Na ndivyo itakavyokua ,asipo. jitenga nae,nchi itageuka ya wachuuzi
Wanafiki na wajinga wakubwa tu nyie wakati wa kikwete mambo yote yalienda sawa kila sekta pamoja na huo uchuuzi mna lalamika nao,

Sasa huyo limbukeni wenu aliye amini katika kuwachukia matajiri matokeo yake akakwama akaona bora pesa za watumishi na wakulima na wafanya biashara azinyang'anye na kapeleka kwenye miradi ya kutaka sifa halafu anajificha kwenye mgongo wa kuita watu wanyonge na akaona haitoshi akawa hataki hata kukaguliwa matumizi yake ya hovyo ya pesa za umma ,

hana maana na sera zake za kikoloni zilizo chagizwa na ushamba na tamaa ya madaraka, ashukuriwe mungu kwa kumpeleka kuzimu haraka kabla ya madhara kwa taifa na roho yake mbaya.

Nchi ikisha kuwa ya kibepari huwezi kujitenga na ubepari kamwe vinginevyo wananchi waishi kimaskini kama ilivyo kuwa kwa magufuli.
 
Wewe jamaa una akili sana.....Eti ushindi wa 100%. Hata kura zenyewe hawajahangaika hata kuhesabu ndio maana walijichanganya idadi ya wapiga kura teh teh teh kwa Mwenyekiti jumla ya wapiga kura walikuwa 1862, kwa wajumbe wa NEC jumla ya wapiga kura 1839 toa 16 zilizoharibika kura halali zikawa 1823.

Jiulize hao wajumbe 1862-1839 walitokea wapi upande wa Mwenyekiti wakati ukumbi ulikuwa ni mmoja na wajumbe ni hao hao.

Chama Cha Majambazi/Mafisi
 
Sasa unadhani mangula anamzid nini Jk?

Kwani mtu kuandika yaliyozungumzwa kwenye kikao ndio inamaanisha kuwa anataka na yeye azungumze?

Nenda jeshini mkuu, uliza kama kuna top officers wanahudhuria bila notebook.

Mambo mengine ni vyema kuweka ushabiki pembeni na kuongea mambo ya tija.
 
Watu Jf wanaongea ujinga mtupu, mzee huyohuyo alinusuriwa kifo na jk.

Apate wapi ujasir wa kumtema? Ni maamuzi tu ya viongoz wenyewe kuwa ni nani aongee.
 
Kikwete ndiyo Rais hivyo anatuzuga kwa kutotaka kuonekana yuko karibu mama wa KUDEMKA ila nyuma ya pazia usukani kaushika yeye.
 
Bado Mangula hajamsahau hajamsahau Mkwere. kwamba alimrudisha huyo mzee akalime machungwa kule chaugingi njombe,mpaka aliporudishwa kwa kazi maalumu kule Igunga,ndipo alipopandia.Vinginevyo alikuwa anakufa.

Na Ile sumu aliyolishwa hapa ya juzi juzi sijui ulikuwa ni mkono wa nani na kwa nini?
 
Final JK kaweka
~Katibu Mkuu wake
~Mwenezi wake

Mangula ni water mirror kafanywa ivo
 
Kila mtu aongelee nafsi yake, itapendeza zaidi.
Sasa jamaa anatuelezea mambo yao ya kipuuzi wanaofanyiana kwenye vikao ili iweje?! Lichama limejaa fitna, uzandiki,chuki, majungu,uchawi nk. Ndio maana mpaka leo zaidi ya miaka 60 hamna kitu cha maana kilichofanyika
 
Samia kawa raisi yeye amehusika kwa kiasi kikubwa,hapendi kujionesha.

Vasco Dagama hapendi kujionesha? Unamfahamu au unasimuliwa? Kutompa nafasi ya kumuombea kura wamemuumiza sana kwani hiyo platform lazima alikuwa anaiwania!
 
JK ni moja ya watu wanaoujua mchezo wa siasa hii ni namba nyingine usicheze nayo. Huyu jamaa ana calculation kali mjomba, Jana wamerudisha heshima ya TOT bongo fleva za Magu akina zuchu sijui nani waliwekwa kando, Polepole alijaribu kuwatangaza kuwa nao wapo wakapigwa chini, jana ulikuwa ni mwendo wa TOT tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…