Wewe unasema tu hujui ukubwa wa viatu vya huyo dada, Kwanza hakuna mwanaume anayekubali kosa la kuchepuka, utadai talaka Kwa ushahidi upi?
Ukute kaandaa fumanizi Ili apate ushahidi WA uhakika WA kudai talaka.
 
Dah I think to marry you [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
mi nilishanyosha mikono ogopa sana mwanamke anaongea na mtoto mchanga kabisa ambae hajui kitu na wanakua na furaha hadi wanaelewana ,ndio mimi naejua kuongea ashindwe kunidadisi
 
Sio personal. HARUHUSIWI KUENDESHA STL wala STM.

Hapo dereva afukuzwe na uyu awajibishwe.
Dereva angewezaje kutotii anachoambiwa na boss wake? Sijaona kosa la dereva.

Huyo aliyeshupaza shingo akatumia nafasi yake vibaya ndio awajibike na mambo yake.
 
Labda anajua mkewe angemjazia nzi
 

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]nikiwa nasoma Hii post yako kuna siku nilimfuma mme nikakiwasha ikabidi wajeda wenzie wajae pale kikao kilikuwa [emoji91][emoji91]na mme akawa anataka niondoke usiku huo kama siwezi kutulia Yani alinibadilikia kama sio yule anaenibembeleza kila siku nyumbani.Nilipousoma mchezo nikawa mpole [emoji2][emoji2]mashemeji wakatusuluhisha tukarudi nyumbani kimya kimya
Kufika chumbani tu jamaa akapiga magoti fastaa ananikumbatia miguu nimsamehe
Aisee nilipata hasira nikakuta nimemlamba mabao mawili ya fasta fasta kwa kuniabisha kule kwa wenzie
Anyway usiku huo huo tuliyamaliza yakaisha
 
Ndiyo hao sifiasifia

Kuna waziri mmoja mdogomdogo hivi wa Uingereza alionekana akipita barabarani na mama mmoja wa mtaani huko
Kuna haja Ipatikane Katiba mpya itakayokuwa na uwezo wa kuwawajibisha hawa wahuni

Hizo nafasi wawe wanaziomba sio kuteuliwa
 
Masta😂
 
Huyu ndo mwanaume sasa🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…