Barbiedoll
JF-Expert Member
- Apr 7, 2023
- 772
- 2,150
Ukishaona tu wanawindana ujue tayari kuna shida humo ndo mana ilikua lazima waziri akimbie🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hiyo Sio ndoa Sasa ni living hell,,,,,na ndio maana wanawindana kufumaniana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukishaona tu wanawindana ujue tayari kuna shida humo ndo mana ilikua lazima waziri akimbie🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hiyo Sio ndoa Sasa ni living hell,,,,,na ndio maana wanawindana kufumaniana
Pokea Mama muamala na sanamu yako ijengwe Ikulu ya Chamwino getini457680Lipa number tafadhali[emoji23]
Wewe unasema tu hujui ukubwa wa viatu vya huyo dada, Kwanza hakuna mwanaume anayekubali kosa la kuchepuka, utadai talaka Kwa ushahidi upi?Solution ninkuomba talaka kila mtu aishi maisha yake.
Maisha sio kukimbizana its all about happiness.
Mtu unakuta alishindwa na mama yake utamuweza wewe? Mimi sipendagi vurugu nikiona mtu kanishinda na quit.
Yaani unakomalia mtu malaya akuletee ukimwi? Oh come on.
Mimi hata niambiwe yuko pale hoteli fulani na mwanamke fulani..hata sms simtumii namsubiria nyumbani nifanye maamuzi.
Maisha yenyewe haya mafupi na mwanaume aanze nitia stress!msichokielewa ni kuwa mpaka mtu anacheat , weww huna nafasi tena so what are you wanting for? Just divorce!!!
Kazi ninayoifanya almost kila mwezi lazima nikutane na mambo ya matalaka..ukimsikiliza mwanaume ukamsikiliza na mwanamke kila mtu unaona yuko sawa ila kuachana ndo dawa.
Bado kidogo ningekuja pm kupata darasa zaidi haha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapana....
Sijasomea hizo Mambo..
Wanaume wengi wakitabzania ni Malaya dawa ni kama hii huyo kapata ajali atatulia tu apende asipendeWewe ulifanya kosa kuolewa na malaya. Malaya ni malaya huwezi mkomoa kwa kuwakomoa wanao. Ukiolewa na malaya na ukazaa watoto smart move ni kuvunja hiyo ndoa.
Dah I think to marry you [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vyovyote utakavyo ni judge sawa tu ila ni ujinga kumfumania mtu ambae ulikuta akiwa na meno 32, tena unakuta maskini labda ulikuta ana watoto na mama tofauti eti leo waenda mfumania?
For a woman " If you can't handle your man at y'r home (privately)you will never handle your man in public"
Coz ukishamtia aibu ndo anaenda kukuacha kabisaaa hiyo ni point of no return.
Ndo maana nasisitiza mtu akikushinda omba talakaaaaaa
Unaposema wengi unamaanisha unaowafahamu?Wanaume wengi wakitabzania ni Malaya dawa ni kama hii huyo kapata ajali atatulia tu apende asipende
mi nilishanyosha mikono ogopa sana mwanamke anaongea na mtoto mchanga kabisa ambae hajui kitu na wanakua na furaha hadi wanaelewana ,ndio mimi naejua kuongea ashindwe kunidadisiWanawake Huwa tunahisi jambo mapema tu kabla na hata ukibadilika Huwa tuna notice tunapiga kimya. Yani tuna machale ka majasusi wabobevu ni vile tu mengine Huwa tunawaza. [emoji28][emoji28] Hafu ukifumaniwa hata dudu ka lilikuwa limesimama linanyewa [emoji28][emoji28][emoji28]usicheze na fumanizi
Dereva angewezaje kutotii anachoambiwa na boss wake? Sijaona kosa la dereva.Sio personal. HARUHUSIWI KUENDESHA STL wala STM.
Hapo dereva afukuzwe na uyu awajibishwe.
Labda anajua mkewe angemjazia nzi🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mwambie Kuna wakati mwanaume lazima awe baba!Sasa baba gani Kama huyo waziri analeta aibu kwenye familia na Taifa kwa ujumla,wakati angesimama piga biti moja Kali sana wife angetangulia nyumbani unadhani nyumbani asingemuelewa?lazima mwanaume uwe na medani bwana sio unakuwa bwegebwege tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwambie Kuna wakati mwanaume lazima awe baba!Sasa baba gani Kama huyo waziri analeta aibu kwenye familia na Taifa kwa ujumla,wakati angesimama piga biti moja Kali sana wife angetangulia nyumbani unadhani nyumbani asingemuelewa?lazima mwanaume uwe na medani bwana sio unakuwa bwegebwege tu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hakika ni heshima sana maana Ile ikulu inanivutia sana nikipita tu huku barabarani,achana na muamala sanamu linatoshaPokea Mama muamala na sanamu yako ijengwe Ikulu ya Chamwino getini
Kuna haja Ipatikane Katiba mpya itakayokuwa na uwezo wa kuwawajibisha hawa wahuniNdiyo hao sifiasifia
Kuna waziri mmoja mdogomdogo hivi wa Uingereza alionekana akipita barabarani na mama mmoja wa mtaani huko
... eti huyu naye alikuwa kiongozi tena waziri! Nchi itapate maendeleo kwa aina hii ya viongozi? Serio
Masta😂Wanawake Huwa tunahisi jambo mapema tu kabla na hata ukibadilika Huwa tuna notice tunapiga kimya. Yani tuna machale ka majasusi wabobevu ni vile tu mengine Huwa tunawaza. [emoji28][emoji28] Hafu ukifumaniwa hata dudu ka lilikuwa limesimama linanyewa [emoji28][emoji28][emoji28]usicheze na fumanizi
Huyu ndo mwanaume sasa🤣🤣🤣[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]nikiwa nasoma Hii post yako kuna siku nilimfuma mme nikakiwasha ikabidi wajeda wenzie wajae pale kikao kilikuwa [emoji91][emoji91]na mme akawa anataka niondoke usiku huo kama siwezi kutulia Yani alinibadilikia kama sio yule anaenibembeleza kila siku nyumbani.Nilipousoma mchezo nikawa mpole [emoji2][emoji2]mashemeji wakatusuluhisha tukarudi nyumbani kimya kimya
Kufika chumbani tu jamaa akapiga magoti fastaa ananikumbatia miguu nimsamehe
Aisee nilipata hasira nikakuta nimemlamba mabao mawili ya fasta fasta kwa kuniabisha kule kwa wenzie
Anyway usiku huo huo tuliyamaliza yakaisha
Kabisa hizo nafasi waziombeKuna haja Ipatikane Katiba mpya itakayokuwa na uwezo wa kuwawajibisha hawa wahuni
Hizo nafasi wawe wanaziomba sio kuteuliwa