🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe umeolewa na MWANAMME!Mtunze sana mumeo shosti.....Hiyo ndio type na mwanamme nazitaka Mimi....
 
Sijui wewe ulienitusi ni mke au mme, lakini kama mke, ngoja nikwambie ukweli ambao kama hujaolewa au umeolewa utakuja kunikumbuka siku moja.

Kwanza wazungu wanapokuja afrika, hakuna mwanamume waliyemkuta na mke mmoja, yaani babu zetu waliwakuta wakiishi na wake zaidi ya mmoja kwa raha na mstarehe, lakini wao ndiyo walioreta propaganda ya mke mmoja.

Hivi unajua kalibu mitume wote wa Mwenyezi Mungu walikuwa na mke mmoja, Ibrahimu aliikuwa na wake watatu, Yakobo wawili n.k

Unajua faida ya kuwa na mke mmoja,jiulize unapotoka kuzaa kipindi cha siku 40 mmeo anaishije? Au anapotoka safari na kukukuta uko kwenye siku zako? Na kumbuka wanaume wamegawanyika, kuna wenye nguvu za Vifaru, Malori na pikipiki mbovu, hawawezi kulingana

Kinachotokea ni kwamba Waisilamu wamerahisisha mke zaidi ya mmoja, na Wakristo wanamichepuko kuanzi mapadiri, wachungaji, mpaka waumini wa kawaida,

Kama uamini utaamini siku akifa muhusika, wanapojitokezaga wanawake wengine wanaodai kuzaa na marehemu mumeo wakiwa na watoto waliofanana na muhusika
 
Umeshapata Mume haraka namna hii Mdogo wetu?
Au ile Post yako ulikuwa unamwandikia mtu?
 
Sikujuaga kama una akili kubwa kiasi hiki.
Kwenda kufamania ni kujidhalilisha katika jamii, ni kupiga tarumbeta kwa dunia waone madhaifu ya mahusiano yenu.
Ninakupongeza kama ni kweli usemayo
 
Kwani wakali mnatupenda basi?
Hapa Sasa usichanganye Mambo,Kuna ukali wa kuwa kiongozi wa familia halafu Kuna Gubu!yaani Gubu ww kila saa Nongwa yaani unaanzisha tu vimambomambo Hapana😂😂😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe umeolewa na MWANAMME!Mtunze sana mumeo shosti.....Hiyo ndio type na mwanamme nazitaka Mimi....

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]wanaume wanaweza kukupa aibu hadharani na ndani wakakulilia vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…