Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Waziri ni mali ya umma, amebeba dhamana ya taifa, anafaa kuondoshwa ofisiniHakuna Personal issue kwa Kiongozi wa Serikali anayetumia resources za Umma kwa Umalaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waziri ni mali ya umma, amebeba dhamana ya taifa, anafaa kuondoshwa ofisiniHakuna Personal issue kwa Kiongozi wa Serikali anayetumia resources za Umma kwa Umalaya.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe umeolewa na MWANAMME!Mtunze sana mumeo shosti.....Hiyo ndio type na mwanamme nazitaka Mimi....[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]nikiwa nasoma Hii post yako kuna siku nilimfuma mme nikakiwasha ikabidi wajeda wenzie wajae pale kikao kilikuwa [emoji91][emoji91]na mme akawa anataka niondoke usiku huo kama siwezi kutulia Yani alinibadilikia kama sio yule anaenibembeleza kila siku nyumbani.Nilipousoma mchezo nikawa mpole [emoji2][emoji2]mashemeji wakatusuluhisha tukarudi nyumbani kimya kimya
Kufika chumbani tu jamaa akapiga magoti fastaa ananikumbatia miguu nimsamehe
Aisee nilipata hasira nikakuta nimemlamba mabao mawili ya fasta fasta kwa kuniabisha kule kwa wenzie
Anyway usiku huo huo tuliyamaliza yakaisha
Nakazia ni mwanamke pumbafffff hiyo.Huyo mkewe ni mjinga, unamfata mumeo hotelini ili ugundue nini?
Kwani wakali mnatupenda basi?Yaani Napenda sana mwanaume awe na sauti sio Mimi ndio natoa oda.😂😂😂😂ndio maana sipendi limbwata
Sijui wewe ulienitusi ni mke au mme, lakini kama mke, ngoja nikwambie ukweli ambao kama hujaolewa au umeolewa utakuja kunikumbuka siku moja.
[emoji28][emoji28][emoji28] wanawake tuko vizuri sana na ni anguko la wanaume wengimi nilishanyosha mikono ogopa sana mwanamke anaongea na mtoto mchanga kabisa ambae hajui kitu na wanakua na furaha hadi wanaelewana ,ndio mimi naejua kuongea ashindwe kunidadisi
Wewe mama D😂
Umeona eeeh,eti mwanaume anakimbia jamani Hadi anapinduka khaaa 🤣🤣🤣🤣ningekuwa wife ningemkata makofi hukohuko general ndio tuendelee kuuguzanaHuyu ndo mwanaume sasa🤣🤣🤣
Umeshapata Mume haraka namna hii Mdogo wetu?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]nikiwa nasoma Hii post yako kuna siku nilimfuma mme nikakiwasha ikabidi wajeda wenzie wajae pale kikao kilikuwa [emoji91][emoji91]na mme akawa anataka niondoke usiku huo kama siwezi kutulia Yani alinibadilikia kama sio yule anaenibembeleza kila siku nyumbani.Nilipousoma mchezo nikawa mpole [emoji2][emoji2]mashemeji wakatusuluhisha tukarudi nyumbani kimya kimya
Kufika chumbani tu jamaa akapiga magoti fastaa ananikumbatia miguu nimsamehe
Aisee nilipata hasira nikakuta nimemlamba mabao mawili ya fasta fasta kwa kuniabisha kule kwa wenzie
Anyway usiku huo huo tuliyamaliza yakaisha
[emoji2][emoji2][emoji2]Masta[emoji23]
Sikujuaga kama una akili kubwa kiasi hiki.Solution ninkuomba talaka kila mtu aishi maisha yake.
Maisha sio kukimbizana its all about happiness.
Mtu unakuta alishindwa na mama yake utamuweza wewe? Mimi sipendagi vurugu nikiona mtu kanishinda na quit.
Yaani unakomalia mtu malaya akuletee ukimwi? Oh come on.
Mimi hata niambiwe yuko pale hoteli fulani na mwanamke fulani..hata sms simtumii namsubiria nyumbani nifanye maamuzi.
Maisha yenyewe haya mafupi na mwanaume aanze nitia stress!msichokielewa ni kuwa mpaka mtu anacheat , weww huna nafasi tena so what are you wanting for? Just divorce!!!
Kazi ninayoifanya almost kila mwezi lazima nikutane na mambo ya matalaka..ukimsikiliza mwanaume ukamsikiliza na mwanamke kila mtu unaona yuko sawa ila kuachana ndo dawa.
Itaondoa uzembe mwingi sana SerikaliniKabisa hizo nafasi waziombe
Umeshapata Mume haraka namna hii Mdogo wetu?
Au ile Post yako ulikuwa unamwandikia mtu?
Hapa Sasa usichanganye Mambo,Kuna ukali wa kuwa kiongozi wa familia halafu Kuna Gubu!yaani Gubu ww kila saa Nongwa yaani unaanzisha tu vimambomambo Hapana😂😂😂Kwani wakali mnatupenda basi?
Abeee☺☺
Eti,Pf3 ameichukulia kituo gani cha polisi?Personal anatumia gari ya Serikali?
Itaondoa uzembe mwingi sana SerikaliniKabisa hizo nafasi waziombe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe umeolewa na MWANAMME!Mtunze sana mumeo shosti.....Hiyo ndio type na mwanamme nazitaka Mimi....