Huna sababu ya kunipa Pole...Na hakuna mahali niliposhushuka...Kwa muda nimekuwa JF nilishakutana na mengi...Nimezoea..

Anayetaka kujua maisha yako ni nani....Si ni wewe uliyaleta..kama siyo nikuombe radhi hapa.

Naona ni wewe umechukulia mambo serious sana aiseee....JF haiko hivyo...

Bye!!!!!!!
 
Wewe ndio Aina ya wanaume mnatakiwa!Kuna mahali nimesema kwani si angetulia halafu amwambie mkewe kilikuwa kikao Cha kiofisi haoni Kama angesolve tatizo Kwa njia rahisi,Sasa kukimbia ni kuongeza taharuki matokeo ndio hayo...Kuna wanaume mawenge sana
Kwanza waziri hupaswi kutrombre hotelini zama hizi.
Hoteli zina cctv camera ni rahisi kuharibiwa cv.
Pili wanaokuhudumia ni wanadamu na ni wananchi wanaokujua.

Kama unajijua ni kitombi hakikisha una akili kubwa sio huu utoto
 
😁😁😁😁
 
Kwanza waziri hupaswi kutrombre hotelini zama hizi.
Hoteli zina cctv camera ni rahisi kuharibiwa cv.
Pili wanaokuhudumia ni wanadamu na ni wananchi wanaokujua.

Kama unajijua ni kitombi hakikisha una akili kubwa sio huu utoto
Wenzake wanapanga private apartment zao getini anaajiri knight support yeye analeta ubahili🤣kimemkuta kitu
 

Kwaio nikiyaleta mambo yangu hapa ndio adhabu?
Kwani wewe post yangu na hii ya leo ulitaka nikuelezee maana umeniuliza nimeshapata mume?Vipi dada post zangu zinakugusa hivyo kulikoni
Acha shobo unataka kujua kama nimepata mume wewe kama Nani?mbona mimi sijataka hata kufatilia post zako
Acha kuchukulia mambo serious wewe soma post za watu pita hivi[emoji1428][emoji1428][emoji1428]sio kuuliza maswali yasiyo kuhusu enjoy Jf bila kufatilia mambo ya watu hutowahi kushushuka kama hivi
Nilileta mambo yangu hapa sio kuhojiwa,aliekupa mandate ya kunihoji kama nimepata mume ni nani?
Punguza ngebe!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…