Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange apata ajali akiendesha gari
Maana unataka maelezo ya maisha yangu,wewe Nani kwani?punguza shobo bibie sijakuquote Mimi ni wewe na kiherehere chako
Nilikuwa naelezea story yangu na mjeda ndio topic hapa kama hujaelewa pita kushoto
Sija jam ila sipendi mtu kujifanya mjuaji wa maisha ya wengine,huna mandate ya kunifanya ujam
Uups!Pole kama umeona nimekushushua
Acha bwana,sio poa.....hanaga shida kabisa huyo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwamba alitisha Sana Sana ata Mimi siwezi kukubali ata siku unidhalishe mbele ya watu. Hakuna kitu sipendi kama mtu kunivunjia heshima hapo ntachukia utajua lakini tukiwa wawili fresh ata msamaha wa machozi natoa hila nje uko [emoji1787][emoji1787][emoji1787] thubutu

Wanaumeee!!Mungu anawaona [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Asante kwa taarifa mkuu. Nakuamini.
Hebu tupe picha, Kama anakitambi pia tunahitaji kukiona ili tujue Kama Ni wale wazee wa dakika mbili.
Huyu hapa
images (18).jpg
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] wanaume wengi waoga kufumaniwa wanakuwaga wadogo ka piritoni na huyu waziri akipona aaChe uzinzi utamuua mkewe ka ana mfatilia hivo atakuwa anatumia hata madawa
Fumanizi lolote uwe dume au mwanamke lazima uwe mdogo,mpole
[emoji1]
Waziri hakutakiwa kukimbia kwanza
Angelimqliza kibingwa

Ova
 
Back
Top Bottom