Wabunge wa CCM leo tangu asubuhi wameacha kujadili ripoti ya CAG wanadokolea mitandao macho kupata taarifa za Ajali ya Naibu Waziri Dugange ambaye amefumaniwa.
 
....hana akili kabisaaa".

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Fumanizi lolote uwe dume au mwanamke lazima uwe mdogo,mpole
[emoji1]
Waziri hakutakiwa kukimbia kwanza
Angelimqliza kibingwa

Ova
Sasa ukifumaniwa una panic hata hivo za mwizi ni arobaini Tena huyu waziri anajiita Dr ni PhD ya kitaaluma au kidaktari inaonyesha tangu awe mbunge akawa limbukeni flani
 
Hahahahah!!sawa mama lakini Mbona wapo Waislam tena ukute anamke zaidi ya mmoja na bado anapiga show za nje?Umetolewa Mfano mmoja wa Yule Mbunge(Naibu Waziri) Mwaka 2012 aliye Ibiwa Hotelini.
Utawaweza hao wanapenda kujifanya watakatifu Duniani kama wamewahi kuonana na Mungu.
 
Hiyo ni Ajali Kama ajali nyingine kwa kua ni uncertain situation ,ingekua amelewa labda sawa,ajaiporomosha gari kusudi
Ni kazi ya traffic police kuthibitisha chanzo cha ajili. Comment yangu imetokana na heading ya mtoa mada!
 
Sasa ukifumaniwa una panic hata hivo za mwizi ni arobaini Tena huyu waziri anajiita Dr ni PhD ya kitaaluma au kidaktari inaonyesha tangu awe mbunge akawa limbukeni flani
Dr. Wa Muhimbili. Alikuwaga DMO Kinondoni na RMO kule Simiyu.
Amepiga kitabu tatizo mbinu za kuchepuka ndio akasome.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…