Connections matter's a lot vetting yaweza kuwa sababu ya kunyima wengine fursaVetting ni mbwembwe tuu za kuondoa lawama,Tanzania hakuna Cha vetting ila Kuna connections unless ni kazi nyeti sana ila sio hizi za siasa.
Hapo mke hajali mumewe kadhalilika ndio lengo bana hayo unafikiria Huwa wanawake wanajali sasaMama Waziri ajiandae kufunga virago na kutengwa na familia juu. Pia watoto hawatopanda tena V8 kwenda shule na huenda wakatoleewa FEZA kurudi St Marrys. MWANAMKE MPUMBAVU HUIBOMOA NYUMBA YAKE KWA MIKONO YAKE MWENYEWE.
Shit wife
Pole sana bageshi.Hao nao mala ya tu.Kiben ten cha nini sasa mwisho upate Ukimwi upate stress tena.Mimi nilivyofiwa nilijiinspire kwa mke wa Thomas Sankara, na kwa mke wa Patrice Lumumba. Wale walifiwa wakiwa wabichi kabisa ila walilea watoto wao bila kuolewa tena.
Bila shaka umependeza Sasa hivi, ila Hawa wanaume hukera na kuumiza sana wake zao heri ujue tu hayupo duniani banaLabda kama ni jobless,ila kama ana kipato ninampongeza,atalea wanae vizuri tu.Mimi ni mjane pia. Nina amani maana nina uhakika alipo.Sio zamani mtu anakuaga anakwenda Mtwara kikazi,kumbe yupo hoteli na demu.
Amina wa mu Ng'wise.Pole sana bageshi.
NalΔ«nadadebile gΔ«kΔ« Ε«nkwelawiswe ozumalΔ«ka.
NapΔ«nΔ«hala noi.
Seba AgΕ«lang'hane nkoyi na gΕ«gwinha lΕ«bango pye na bana bako [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Nimejikuta nachekami nilishanyosha mikono ogopa sana mwanamke anaongea na mtoto mchanga kabisa ambae hajui kitu na wanakua na furaha hadi wanaelewana ,ndio mimi naejua kuongea ashindwe kunidadisi
Kabla siasa haijateka Nchi ilikuwa hata zile nafasi za Ukuu wa Vitengo ilikuwa Vetting inafanyika, siku hizi watu wanapachika ndugu zao mwishowe tunapata aibu KuuKuna mkali aliniambia ukisikia unafanyiwa vetting ujue hupati kitu hapo ππ
Kwa nini mnadhani kila anayetenguliwa uwaziri au nafasi za juu hatapanda tena V8?? Pia mnahisi anaenda kuishi maisha magumu?Mama Waziri ajiandae kufunga virago na kutengwa na familia juu. Pia watoto hawatopanda tena V8 kwenda shule na huenda wakatoleewa FEZA kurudi St Marrys. MWANAMKE MPUMBAVU HUIBOMOA NYUMBA YAKE KWA MIKONO YAKE MWENYEWE.
Shit wife
So mke aliyekudhalilisha bado ndoa ipo?? Umevunjika mgongo au mguu ndugu zako watamlipa nini huyo mke??? Waafrika akili zetu twazijua wenyewe huyo ajiangalie sanaHapo mke hajali mumewe kadhalilika ndio lengo bana hayo unafikiria Huwa wanawake wanajali sasa
Mke wa naibu waziri hafai mchoyo sanaUzinzi ni tabia chafu ila Wanawake mnashangaza sana. TOO SELFISH.. Mbona hujamjudge mwanamke mwezio kutaka kuharibu reputation ya baba watoto wake kwa kuandaa fumanizi?
Wewe unajua mumeo ni naibu waziri, unakuja kumfumania hadharani ukitegemea akae hapo ili umfumanie apoteze kazi yake, aaibike mbele ya watoto wake.
Kwanini hakubaki kuwa RMO kama alikuwa na fedha?Kwa nini mnadhani kila anayetenguliwa uwaziri au nafasi za juu hatapanda tena V8?? Pia mnahisi anaenda kuishi maisha magumu?
Dr.Dugange mbona ana V8 kabla ya uwaziri?
Uwezo wa kuendesha V8 anao, hata kupeleka Watoto feza anao pia. Dr.Dugange kabla ya ubunge alikua RMO
Kifo kitawatenganishaKwanini msiachane?
Na juzi tu alikuwa anakemea watu waache wizi wa vifaa vya ujenzi wa daraja πTena aliibiwa pesa za kigeni zaidi ya $1,000 na milioni kadhaa za madafu, na bunduki ikaibiwa.
Nakumbuka hiyo habari ilizimwa kimtindo na leo hii jamaa ni RC
Ni nani huyu?Hapa nilipitwa kwa kweli.Na juzi tu alikuwa anakemea watu waache wizi wa vifaa vya ujenzi wa daraja π
Hiyo ni nature ya Wanaume wengi ila useme wana play low.Maadili hakuna watu ni wazinzi kupita kiasi na uchafu mwingi huku wanaitwa waheshimiwa
Nazihurumia kucha zangu hizi πNi nani huyu?Hapa nilipitwa kwa kweli.