Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange apata ajali akiendesha gari
Mama Waziri ajiandae kufunga virago na kutengwa na familia juu. Pia watoto hawatopanda tena V8 kwenda shule na huenda wakatoleewa FEZA kurudi St Marrys. MWANAMKE MPUMBAVU HUIBOMOA NYUMBA YAKE KWA MIKONO YAKE MWENYEWE.
Shit wife
Hapo mke hajali mumewe kadhalilika ndio lengo bana hayo unafikiria Huwa wanawake wanajali sasa
 
Hao nao mala ya tu.Kiben ten cha nini sasa mwisho upate Ukimwi upate stress tena.Mimi nilivyofiwa nilijiinspire kwa mke wa Thomas Sankara, na kwa mke wa Patrice Lumumba. Wale walifiwa wakiwa wabichi kabisa ila walilea watoto wao bila kuolewa tena.
Pole sana bageshi.

Nalīnadadebile gīkī ūnkwelawiswe ozumalīka.

Napīnīhala noi.

Seba Agūlang'hane nkoyi na gūgwinha lūbango pye na bana bako [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Labda kama ni jobless,ila kama ana kipato ninampongeza,atalea wanae vizuri tu.Mimi ni mjane pia. Nina amani maana nina uhakika alipo.Sio zamani mtu anakuaga anakwenda Mtwara kikazi,kumbe yupo hoteli na demu.
Bila shaka umependeza Sasa hivi, ila Hawa wanaume hukera na kuumiza sana wake zao heri ujue tu hayupo duniani bana
 
Mama Waziri ajiandae kufunga virago na kutengwa na familia juu. Pia watoto hawatopanda tena V8 kwenda shule na huenda wakatoleewa FEZA kurudi St Marrys. MWANAMKE MPUMBAVU HUIBOMOA NYUMBA YAKE KWA MIKONO YAKE MWENYEWE.
Shit wife
Kwa nini mnadhani kila anayetenguliwa uwaziri au nafasi za juu hatapanda tena V8?? Pia mnahisi anaenda kuishi maisha magumu?

Dr.Dugange mbona ana V8 kabla ya uwaziri?

Uwezo wa kuendesha V8 anao, hata kupeleka Watoto feza anao pia. Dr.Dugange kabla ya ubunge alikua RMO
 
Hapo mke hajali mumewe kadhalilika ndio lengo bana hayo unafikiria Huwa wanawake wanajali sasa
So mke aliyekudhalilisha bado ndoa ipo?? Umevunjika mgongo au mguu ndugu zako watamlipa nini huyo mke??? Waafrika akili zetu twazijua wenyewe huyo ajiangalie sana
 
Uzinzi ni tabia chafu ila Wanawake mnashangaza sana. TOO SELFISH.. Mbona hujamjudge mwanamke mwezio kutaka kuharibu reputation ya baba watoto wake kwa kuandaa fumanizi?

Wewe unajua mumeo ni naibu waziri, unakuja kumfumania hadharani ukitegemea akae hapo ili umfumanie apoteze kazi yake, aaibike mbele ya watoto wake.
Mke wa naibu waziri hafai mchoyo sana
 
Kwa nini mnadhani kila anayetenguliwa uwaziri au nafasi za juu hatapanda tena V8?? Pia mnahisi anaenda kuishi maisha magumu?

Dr.Dugange mbona ana V8 kabla ya uwaziri?

Uwezo wa kuendesha V8 anao, hata kupeleka Watoto feza anao pia. Dr.Dugange kabla ya ubunge alikua RMO
Kwanini hakubaki kuwa RMO kama alikuwa na fedha?
 
Ana umri gani huyo baba kiasi cha kutokuwa muaminifu na ndoa yake ahangaike na mchepuke? Inatosha kusema huo ndio mshahara wa dhambi na iwe fundisho kwa wengine wenye tabia hiyo
 
Maadili hakuna watu ni wazinzi kupita kiasi na uchafu mwingi huku wanaitwa waheshimiwa
Hiyo ni nature ya Wanaume wengi ila useme wana play low.

Hukuona Mfalme Suleiman alikuwa nao kiasi gani, muhimu wajue kulinda na hadhi ya Ofisi wanazofanyia kazi
 
Back
Top Bottom