Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange apata ajali akiendesha gari
Ninavyojua mahari yote ya serikali Yana bima kutoka TIRA
Magari ya serikali kuu hayana bima , ola magari ya mashirika na halmashauri yanatakowa kuwa na bima.
Gari la serikali kuu likisababisha ajali na ikahitajika aliyeumia kulipwa wanalipwa kupitia mfuko Mkuu hazina.
Ila kwenye hii ishu kuna mambo zaidi ya bima
1. Kwa nini kiongozi ajiendesha Kwa Gari la serikali? Kuna kuwa na sababu na viongozi wana utaratibu wa kuruhusiwa kujiendesha kwenye Magari ya serikali ila ni very rare MF kuwe hakuna dereva hata wa kuazimq kutoka idara nyingine ya serikali na hii inahitaji kubali cha Katibu Mkuu kiongozi.
Pia kuna viongozi wa idara za usalama wa taifa kama ma RSO na DSO hawa wanaruhusiwq kujiendesha wenyewe kwenye Magari yao ya ofisini.
Kwa nini huyo dereva wake ampatie funguo huyo bosi wake ? Dereva naye ana shida.
Ila izito wa hili suala ni kwenye maadili ya kiongozi huyo jamaa anatakiwa atwnguliwe hata akiwa hospitali ni manake hapo atakuwa anatibiwa Kwa gharama za serikali (kwani hawakatwi bima ya afya ) wakati ameumia akiwa katika uzinzi akikiuka maadili ya kazi yake tena akitumia chombo cha serikali tena kinyume cha utaratibu
 
Bora ujue lipo kaburini,kuliko kusikia lipo gest na mwanamke .Mwanamke mshindi rambirambi, mirathi pesa za kazini,na kama ana kazi nzuri wala hatalimiss atalea wanae vizuri kabisa.
Mimi wangu yupo kaburini, nina uhakika yupo kaburini. No pressure no stress. Yaani ukiwa na mme mpenda mademu full stress. Bora mwanamke mwenzangu sasa atakuwa na uhakika mme wake yupo wapi.
Nachelea kusema hukuwahi kumpenda mume wako!!
Kama unafurahi na kuona mwenzako amelala kaburini , ni kitu gani kitakutia simanzi?:
 
Utawasikia watesalonike wanasema atoe shukurani ya pekee
Shukrani ya pekee inatoka kwenye moyo wa mtoa shukrani na sio mpaka aambiwe, akiguswa atatoa. Pia anaweza akatoa na watu wasijue
 
Back
Top Bottom