Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2][emoji2][emoji2]dhambi zinatesa sana watuMbio za Festo hazijawahi mtu salama.
[emoji2][emoji2][emoji2] hatari sana, ila wanawake wanaofatilia hivi waume zao Huwa ni majipu na wasumbufuHahahah ndio matatizo ya kuoa mke wakala wa Tiss
Na ukiwa msumbufu ndio lazima muhuni atauza mechi tu sababu kero inazidi.[emoji2][emoji2][emoji2] hatari sana, ila wanawake wanaofatilia hivi waume zao Huwa ni majipu na wasumbufu
Nikutajie waziri muislamu anaye chepuka?Uislam mwema sana, angekuwa Muislam angekuwa na mke zaidi ya mmoja kihalali kabisa.
Hakika, kila msiba ni mawaidha kwa tulio hai.
Huu Uzi mbona unakimbia hivi. Hii inaonyesha ni kiasi Gani tunaombeana mabaya kuliko mazuri.
Nadhani wakubwa hawajui. Wangeona siku moja tu mwenge unapolala palivyo jaa kondom!? mbio za mwenge zingesitishwa.Kwenye mbio za mwenge usiombe ufuska unaofanywa na Chama
Ni kweli kabisa wanaume Huwa hawataki kelele Sasa na michepuko hujua kula na kipofu hawamkeri mume ka weweNa ukiwa msumbufu ndio lazima muhuni atauza mechi tu sababu kero inazidi.
Dah!Hiyo njia ya hivyo mungu hapendi kabisa anataka hadi ikutane na kimashine chake cha kutolea 😁
Haya owa mmoja uchepuke, kazi kwako.Zaidi ya mke mmoja ni uzinzi, Uislamu unatetea uzinzi.
oya alafu kweli, naonaga tu raraa reeeDah!
Kwamara ya kwanza nakuona ukisema jambo, mara nyingi hukutana na 'like' nyingi tu unazosambaza kila mahala.
Kumbe maswala ya aina hii yanaondoa soni mtu na kujiachia tu kuseama/kuandika bila ya kujali!
HeeeHeee! Na hilo jibu hapo ulilotoa si la kukurupuka!
Hii inaonesha kwamba tupo pamoja kwenye shida na raha 😄Huu Uzi mbona unakimbia hivi. Hii inaonyesha ni kiasi Gani tunaombeana mabaya kuliko mazuri.
Daaa kodi yetu ishatumika vibaya daaah