Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange apata ajali akiendesha gari
Hatuombei mabaya, assume amekata moto, lawama zitamwendea mke wake kuwa amesababisha. Kwa nini asitulie nyumbani ? Mbona kuna wanawake ni watulivu, wanajua waume za ni wakware, ina maana hakujua madhara ya kufumania? Angetulia nyumbani huku ana data zote kuhusu uzinzi wa mume wake ili maisha yaendelee
Angekuwa mama yako ungetoa huo ushauri

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hili aheri na yule mbunge aliyeingia bungeni akiwa amelewa, aibu yake inahimirika kuliko mkamatwa ugoni.
Huko ulaya ingekua aibu. Hapa kwetu utamuona akipona anarudi bungeni na kulaani vitendo vya ushoga na usagaji.
Na makofi mengi mengi atapigiwa as if hajafanya Jambo la aibu.
Kumbuka huyu ndio anasimamia elimu ya watoto wetu na waalim.
 
Hadi sasa Serikali haijatoa tamko tu.Ni vema ikaondoka hisia na uvumi unaosambaa.
Msigwa bado anafuatilia kipigo Cha mbwa koko walichopata Simba Jana.
Leo atakua benki anarudisha pesa. Atazifuata Tena jumatatu. Kiufupi msigwa Yuko bize na Mambo ya mpira.
 
Back
Top Bottom