Angekuwa mama yako ungetoa huo ushauri

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hili aheri na yule mbunge aliyeingia bungeni akiwa amelewa, aibu yake inahimirika kuliko mkamatwa ugoni.
Huko ulaya ingekua aibu. Hapa kwetu utamuona akipona anarudi bungeni na kulaani vitendo vya ushoga na usagaji.
Na makofi mengi mengi atapigiwa as if hajafanya Jambo la aibu.
Kumbuka huyu ndio anasimamia elimu ya watoto wetu na waalim.
 
Hadi sasa Serikali haijatoa tamko tu.Ni vema ikaondoka hisia na uvumi unaosambaa.
Msigwa bado anafuatilia kipigo Cha mbwa koko walichopata Simba Jana.
Leo atakua benki anarudisha pesa. Atazifuata Tena jumatatu. Kiufupi msigwa Yuko bize na Mambo ya mpira.
 
Huko ulaya ingekua aibu. Hapa kwetu utamuona akipona anarudi bungeni na kulaani vitendo vya ushoga na usagaji.
Na makofi mengi mengi atapigiwa as if hajafanya Jambo la aibu.
Kumbuka huyu ndio anasimamia elimu ya watoto wetu na waalim.
Anasimamia dawati la afya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…