Changchun yatai
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 410
- 1,050
Magu au jk ndo angefanya hvo mama amejawa na huruma katu jawezi mpiga chini.Huko UK, miaka ya zamani kidogo, Waziri mdogo, alikutwa na kashfa ya uzinzi, yaani kutembea na hawara zake, UK PM wa wakati huo, alimteua mtu mwingine right away, hata hajamjulisha na kazi yake ikawa ndio basi, Waziri mdogo akawa kajifukuzisha kazi kwa aibu kubwa.
Waziri mzima unakosa maadili au unashindwa kuficha siri zako tena nyeti kabisa, sasa siri za serikali si ndio hata hawezi kuficha hata kidogo, mimi ningekuwa Mh. Rais nachagua tu mtu mwingine paaap, ndio imeisha hiyo.
Na ukipata uhakika ni hatua zipi utachukua
Huoni tatizo mali za watanzania kutumika isivyo na watendaji wa serikali?Na ukipata uhakika ni hatua zipi utachukua
Nakumbuka hivi alikuwa ADAMUMbona Kuna naibu waziri aliwahi kuibiwa mamilioni na changudoa hotelini akadai majambazi walimvamia.
Case closed...
StupidNa ukipata uhakika ni hatua zipi utachukua
Nchi ngumu hiiMsala kapewa boda [emoji1]
Basi sawa
Ova
hawawezi semaHuyo mke wa mtu hakuwepo kwenye gari?
Twisted ? ....basi sawa pona haraka mjombaPolisi wametoa taarifa kuwa Naibu Waziri mh Dugange alipata ajali akiwa Peke yake na alikuwa akiendesha gari binafsi siyo ya Serikal
Chanzo cha ajali ni Bodaboda iliyoingia ghafla barabarani
Aidha ajali nyingine ilitokea Kongwa ambayo ilihusisha gari la ofisi ya Makamu wa Rais lililogongana na lori na kuuwa Watu wawili na majeruhi mmoja
Chanzo: Jambo tv