Changchun yatai
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 410
- 1,050
Magu au jk ndo angefanya hvo mama amejawa na huruma katu jawezi mpiga chini.Huko UK, miaka ya zamani kidogo, Waziri mdogo, alikutwa na kashfa ya uzinzi, yaani kutembea na hawara zake, UK PM wa wakati huo, alimteua mtu mwingine right away, hata hajamjulisha na kazi yake ikawa ndio basi, Waziri mdogo akawa kajifukuzisha kazi kwa aibu kubwa.
Waziri mzima unakosa maadili au unashindwa kuficha siri zako tena nyeti kabisa, sasa siri za serikali si ndio hata hawezi kuficha hata kidogo, mimi ningekuwa Mh. Rais nachagua tu mtu mwingine paaap, ndio imeisha hiyo.