Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange apata ajali akiendesha gari
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip I. Mpango akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange leo tarehe 29 Aprili 2023 wakati alipofika hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Benjamin Mkapa kumjulia hali baada ya kupata ajali ya gari.

Dkt. Dugange alipata ajali usiku wa tarehe 26 Aprili 2023 wakati akiendesha gari yake binafsi Jijini Dodoma ambapo kwa sasa anaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Benjamini Mkapa.

My note:-
Tuamini yupi gari lake au la Serikali?
 
Huko mbelezi, ila kwanini watu tu wabinafsi kwanini utakwe kulala peke yako hutaki wengine nao wapewe raha za Dunia, you know always Huwa nashindwaga kuelewa huu ubinafsi wa kujimilikisha vifungo k na bo. Liwe lako tu
Umeona ata wewe ni ujinga watu tunatakiwa kushare mautamu
 
Hizo ni nyege sio mapenzi.
Hii hapa
Screenshot_20230429-172310.jpg
 
Mwanaume amepata ajali kazini........kwa sisi wanaume misheni za hatari kama hizo ni kawaida wakati wa mawindo. Sema hatukutwi na mabaya ya kutuanika bado. Get well soon bro
 
IMG_9565.jpeg


JESHI la Polisi nchini limesema ajali iliyotokea Aprili 26, 2023 ikimuhusisha Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Dk Festo Dugange ilisababishwa na Bodaboda aliyekuwa akivuka barabara ghafla bila kuchukua tahadhari.

Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, ACP Martin Otieno imesema gari hilo lenye usajili wa T 454DWV aina ya Toyota Land Cruiser likiendeshwa na Naibu Waziri Dugange lilipoteza mwelekeo na kugonga kigo ya barabara ya Iyumbu maeneo ya St Peter Clever na kupinduka.

“Kulikuwa na mtu moja tu (dereva) kwenye gari hilo ambaye ni Naibu Waziri. Alivunjika kidole gumba cha mkono wa kulia na kupata majeraha katika mkono huo,” amesema Kamanda Martin.

Makamu wa Rais Dk Philip Mpango amemjulia hali Dk Ndugage ambaye amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Doodma.

Pia, soma: Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange apata ajali akiendesha gari
 
Back
Top Bottom