Pamoja na hayo lakini.... Najiuliza.... hivi inakuwaje mwanaume anamuogopa mke kiasi hicho hadi kumkimbia na kupata ajali?
Ndiyo hapo sasa
Jamaa lifala sana, limesababisha kifo kwa ufala wake.
 
Makuwadi wa soko HURIA = ccm
 
Untouchable ! Duh !
 
Nilishangaa kuona VC wa UDOM anataja chanzo cha kifo cha mwanafunzi wake, hii ni dhahiri hili ni genge la wahuni, wanalipana posho kwaajili ya kuficha kosa la waziri
 
Nilishangaa kuona VC wa UDOM anataja chanzo cha kifo cha mwanafunzi wake, hii ni dhahiri hili ni genge la wahuni, wanalipana posho kwaajili ya kuficha kosa la waziri
If true kama Taifa we are LOST !!
 
Ni sahihi waziri kutumia gari la unma kwenda kufanya zinaa?

Ni sahihi mtu kufa kifo cha utata na kusiwe na uwajibikaji wowote ?

Vipi angekuwa dada yako ndiyo kakutana na kadhia hiyo ungekuwa na mtazamo huu ulionao ?
 
Nadhani serikali apambane na mambo muhimu maana hata Rais atakuwa na Kazi ngumu kupamabana na wazinzi . Tujifunze kuhakikisha uwabikaji unaelekea Katika Mambo ya muhimu tu.
Fukuza wazinzi weka waadilifu just as simple as that !!
 
Wewe ni mpumbavu wa mwisho katka dunia hii.Punga kabsaa
 
. Ndugu wa Marehemu Nusra isivyo kawaida hawajajitokeza hadharani kudai taarifa sahihi za kifo cha ndugu yao.
Wamekula mshiko wa maana hao, na si ajabu walikuwa wanufaika wakubwa wa hela za naibu waziri kupitia marehemu enzi za uhai wake.

Hawa wanaojiita viongozi ni wa hovyo sana
 
Kila siku Ni siku ya kujifunza Jambo jipya. Naomba kufahamu kisheria ingekuwa vipi kama scenario ya ajali ingekuwa kinyume chake cha aina ya ajali hii.... Kisheria ingekuwa vipi?? Ili iwe fundisho kwa michepuko mingineyo??😂🙊
 
Kulinda taswira yake kama mtumishi BORA wa Umma ??! Hapo bado sijakuelewa vizuri !!!
Ndio mkuu, sasa huoni kama asingekimbia na mke angemfumania hapo batani, si angemuwashia moto na video zingesambaa sana mitandaoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…