Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Waheshimiwa wananogewa na mabinti wabichiNa hao wanaume utawasemaje
We sema waheshimiwa huko wapunguze,uzinzi..kama uzinzi
Wafanye kwa staha basi
Maana siku hizi mpaka uchochoroni
Tunagumiana kugombania wote madem
Ova
Kuusaka ukwel ni kama kumenya vitunguu...vitaishia kukutoa machozi na ukabaki macho juu.....Investigative journalism inapaswa kufanywa kuutambua ukweli
Wewe humuogopi...🤓😂😂🤣🤣Pamoja na hayo lakini.... Najiuliza.... hivi inakuwaje mwanaume anamuogopa mke kiasi hicho hadi kumkimbia na kupata ajali?
Warohoo kweli...hawataki kabisaWaheshimiwa wananogewa na mabinti wabichi
Wanatumia nguvu ya pesa binti anapelekwa batani na vx v8 Nusrat mrembo wa Singida hasingeweza kuchomoaWarohoo kweli...hawataki kabisa
Kutulia na wake zao
Washapora sana wake na madem za watu hawa [emoji1]
Ova
Viongozi wa ovyo sana miaka ya zamani haikuwa hiviWarohoo kweli...hawataki kabisa
Kutulia na wake zao
Washapora sana wake na madem za watu hawa [emoji1]
Ova
Alafu huyo waziri mshamba kweliWanatumia nguvu ya pesa binti anapelekwa batani na vx v8 Nusrat mrembo wa Singida hasingeweza kuchomoa
Na ile ndinga ndo imefanya hata mke wake atonywe. Yule naibu kweli akili zake ndogoAlafu huyo waziri mshamba kweli
Unamfataje mlupo na gari linaloonekana
Wakati anajijua yeye ni chata,kwann asingetumia bajaji au taxi tu
Tatizo waheshimiwa sahv huko ufuska wajisahau wanaufanya mpaka
Hadharani watu wanawachora tu
Ova
Siku hizi hawa viongozi sijui wanawapata wapiViongozi wa ovyo sana miaka ya zamani haikuwa hivi
Mtu mjanja asingetumia ndinga ileNa ile ndinga ndo imefanya hata mke wake atonywe. Yule naibu kweli akili zake ndogo
Hapo chako n chako tu waheshimiwaNa ile ndinga ndo imefanya hata mke wake atonywe. Yule naibu kweli akili zake ndogo
Halafu anaenda kuvimbia bar kubwa kama ile nahisi jamaa ni mshamba sanaMtu mjanja asingetumia ndinga ile
Sema yote hiyo ni kutaka kuvimba
Ova
Jamaa kajiabisha sana wenzake wapo bungeni miaka mingi wanafanya ufuska wao kwa siri sanaHapo chako n chako tu waheshimiwa
Kwenda ni kujichora tu
Ova
Pale ni mchorano tu kwanza mly ni wengi,kuwawinda waheshimiwaHalafu anaenda kuvimbia bar kubwa kama ile nahisi jamaa ni mshamba sana
Unafikiri wanajaliYule naibu ilitakiwa tumfungulie kesi ya kuchezea kodi za wavuja jasho Watanzania lile gari lina thamani kubwa sana haiwezekani umalaya wake utuingizie hasara kizembe vile
HawashindwiKama tuliambiwa mtu fulani yuko bize anapekua mafaiki kumbe hatunaye watashindwa kuficha hili?