Kwaio kelele zote hizi Kumbe kinachotakiwa apigwe chini tu... Watanzania tuache roho mbaya na chuki dhidi ya viongozi.hata akipigwa chini nafasi iyo Huwezi kupewa Wewe
Maadili ya uongozi

Ova
 
Mhh!
Ibilisi hajawahi kumuacha mtu salama.
1. Used for dishonest.
2. Misused for accepting sexual promiscuity.
3. Abused on the accident.
4. Now confused with the prevailing scandal.
 
Masela tuvute g....ja,tunywe g....be,ila tusiache ibada makanisani na misikitini....

Mbona tunaweza kuwa MASELA tusiolibomoa taifa letu pendwa.....

Masela UZINZI NI DHAMBI DUNIANI NA MBINGUNI....NI UCHAFU WA KUUCHUKIA......

#YetzerHatov
#SiempreJMT[emoji120]
 
Usishangae binti wa watu hakufa ila alimaliziwa kwa hofu kuwa akipona atamwaga siri, hivi rafiki zake na huyo binti hawajui za chini ya zuria!
 
Usishangae binti wa watu hakufa ila alimaliziwa kwa hofu kuwa akipona atamwaga siri, hivi rafiki zake na huyo binti hawajui za chini ya zuria!
kuna watu huwa wanwaheshimu mawaziri na viongozi, wanawaogopa kabisa. tofauti na vichwa vya aina yetu ambao kwanza tukiwaona huwa tunawaona ni watumishi wetu sisi ndio tumewaajiri. kuna siku natoka zangu kitaa nashangaa shangingi lenye namba za waziri linajifanya linafurukuta, nililichomekea vizuri na kuwambia asubiri awe mpole na mbele magari hayaendi. na nilikuwa nasubiri dereva wake ashuke au hata yeye ashuke ili nione ananifanya nini...na mimi nimpe maelekezo na elimu. si ukute hapo watu wana elim ndogo wanaogopa tukisema waziri asije akatufunga.
 
Mambo mengine yanawakuta ni laaana yao wameyataka
 
Huyo waziri kwanza ni fala sana yani mkewe ndio anamfanya akimbie mbio mpaka kutaka kufa.

Mkewe ndio utakuta anakauli nyumbani hapaswi kuwa waziri kabisa huyo bwana ni mtu aliyepokonywa upinde na mkewe
 
Mkuu hili la Mwiba sijalisikia kashifa yake, waweza weka nyama kidogo?
 
Huyo waziri kwanza ni fala sana yani mkewe ndio anamfanya akimbie mbio mpaka kutaka kufa.

Mkewe ndio utakuta anakauli nyumbani hapaswi kuwa waziri kabisa huyo bwana ni mtu aliyepokonywa upinde na mkewe
Ha ha ha!
Mke wa Dugange angekuwa mvumilivu haya yote yasingetokea.
 
Kwanini watu wanamhusisha na binti huyo tu na si mwingine ?
Hisia na moob psychology tu, na wengine watakua walikua wanamshikia miguu muheshimiwa ili afanye yake[emoji2960]

Kuna uwezekano kuna wanao uhakika kabisa ila hawafunguki na kuacha minong'ono iendelee
 
swali la msingi, hilo shangingi tena jipyajipya tu, lilikuwa mali binafsi au ya serkiali? kama ni mali ya serikali, alitakiwa kuendeshwa na dereva wake, na kama ameendesha yeye mwenyewe na kulisambaratisha namna hiyo ajue amesambaratisha milioni 300 za watanzania, kirahisi tu hivyo.
 
At least polisi wameanza ku tread csrefully maana suala inaelekea lita blow up in their face na kuwa complicit to bury the case.
Carefully gani Polisi wametread?

Wao wanaenda na upepo wa wazushi pamoja na viongozi wanamaslahi!

Mi nadhani si sahihi sana Polisi kuja na matamko kabla ya kutoa taarifa sahihi zilizofanyiwa uchunguzi wenye majibu ya kweli yasiyoacha maswali.

Eti ..." baada ya uchunguzi tutatoa taarifa kwa umma".... Hii kwao Polisi yaweza kuwa ni kashifa tosha ya kitaaluma!
 
Ila wataumbuka tu muda ukifika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…