Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange apata ajali akiendesha gari
Hapa Sasa usichanganye Mambo,Kuna ukali wa kuwa kiongozi wa familia halafu Kuna Gubu!yaani Gubu ww kila saa Nongwa yaani unaanzisha tu vimambomambo Hapana😂😂😂
Hivi hata ukiangalia uchangiaji wangu nina gubu?
Hapana, niko peace na mcheshi mnoo..
But mtu akigusa sharubu atasimulia kuzimu.
Asee mimi mkali hadi najiogopa...kwanza sijawahi kukasirika raia akabaki mbele yangu...sharti ukimbie😂😂😂😂
Usijekusema sikukwambia
🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]nikiwa nasoma Hii post yako kuna siku nilimfuma mme nikakiwasha ikabidi wajeda wenzie wajae pale kikao kilikuwa [emoji91][emoji91]na mme akawa anataka niondoke usiku huo kama siwezi kutulia Yani alinibadilikia kama sio yule anaenibembeleza kila siku nyumbani.Nilipousoma mchezo nikawa mpole [emoji2][emoji2]mashemeji wakatusuluhisha tukarudi nyumbani kimya kimya
Kufika chumbani tu jamaa akapiga magoti fastaa ananikumbatia miguu nimsamehe
Aisee nilipata hasira nikakuta nimemlamba mabao mawili ya fasta fasta kwa kuniabisha kule kwa wenzie
Anyway usiku huo huo tuliyamaliza yakaisha
Haaaaaaah baharia alitisha sana kuna demu alinifumania nilimchimba beat akanywea kimya
 
Hao walikuwa wanawake WA zamani za kale, wanawake wa siku hizi wanavuta bangi, umfumanie halafu umpige biti?🤣🤣🤣🤣 Labda Kama humtaki tena

Sasa na hizo bange zake Wacha mume afe halafu watoto wawe panyaroad. Na wakija kujua kisa kilichomuondoa baba yao na kuwaachia taabu watamchinja huyo mama

Baba alikosea harekebishwi kwa kumfanyia matendo ya aibu. Mimi naamini ukishafanya fumanizi la aibu kama hilo upendo umekufa na hamuwezi ishi tena ndani ya chumba kimoja.

Wanawake tuwe tunawaza mbali kidogo

Tusifanye mambo kwa mihemko tukaishia kuzalisha majanga makubwa zaidi

WANAUME zinaa mnazofanya mnajiangamiza wenyewe

Mit 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
 
Wewe unasema tu hujui ukubwa wa viatu vya huyo dada, Kwanza hakuna mwanaume anayekubali kosa la kuchepuka, utadai talaka Kwa ushahidi upi?
Ukute kaandaa fumanizi Ili apate ushahidi WA uhakika WA kudai talaka.
Kwenye dwala la talaka mahakamani ni jinsi wewe ulivyoielezea mahakama kwa ufasaha.
Mpaka.mtu kufikia kufumaniwa hajaanza siku hiyo anakuwa ahakubuhu umalaya ndo starehe yake so haimaanishi kuwa huyo mwanamke atakuwa na ushahidi wa siku ya fumanizi tu, atakuwa na ushahidi tofauti ukiwemo wa simu na.mazingira mengine.

Hakuna mahakama inayo mlazimisha mtu kuishi na mtu kama hataki.

Mpaka mtu anachepuka ashamtukama matusi mengi mke wake, ashampiga na mikanda ya suruali, masimango zalau haya yote ndo ya kuileza mahakama.

Mahakama haihitaji washahidi wa video kutoa talaka., mahakamani inataka maelezo ya kina.
Huwezi kwenda mfumania mtu je ulishawahi kuwaambia wazazi wake? Wasimamizi wa ndoa umewahusisha? Viongozi wa serikali umewahusisha? Ndugu na jamaaa mewaambia?
Sasa kama umefanya haya yote ndo ushahidi wenyewe wa kupeleka mahakamani.

Mtu ni waziri kashindikana kwa umalaya si bora nitafute njia ya kuongea na kiongozi hata mkubwa serikalini ambae najua anaweza kuwa na busara kuongea nae?

Mahakama siku zote inaanglia jitihada ulizo zifanya kuokoa ndoa yako ila umeshindwa.

Anaweza itwa mahakamani na asije, huo nao ni ushahidi, anatumiwa summons haji.

Trust me nakwambia kitu ambacho nina uakika nacho.na kinafanyika kila siku.
 
Haaaaaaah baharia alitisha sana kuna demu alinifumania nilimchimba beat akanywea kimya

Hio siku aliniumiza sana maana alinibadilikia ikawa Mimi ndio Nina kosa[emoji3][emoji3][emoji3]alafu wenzake wanasema shemeji mwanaume hachungwi aisee walikuwa wananishambulia left and right nikawa peke yangu anajitutumia mimi mwanamke hawezi kuniendesha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila kufika ndani alikuwa opposite na aliyoyafanya mbele ya washikaji zake
 
Back
Top Bottom