Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Au endeleeni kufumaniaTutawaombea..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au endeleeni kufumaniaTutawaombea..
Sasa usicheze na mwanamke ALIYECHOKA na matukio ya usaliti....ndiyo hao wengine wanauaga yani kwa kifupi maamuzi yao hayawi ya na mwisho mwemaMke wake ni mtaratibu sana. Inaelekea Dokta alizidi kumpiga matukio mke wake hadi akachoshwa
Kumbe ndio huyu niliskia madaktari wenzake wakiongea yeye kugombea sikujua kuwa ni Dr by profession, Ina onyesha mshamba kavamia fani ya uchepukaji kichwa kichwa awaachie wazoefuDr. Wa Muhimbili. Alikuwaga DMO Kinondoni na RMO kule Simiyu.
Amepiga kitabu tatizo mbinu za kuchepuka ndio akasome.
Siwezi fumania mume wangu,Siwezi kiri kushindwa majukumu mbele ya umma Mimi,,tutakutana nyumbani kukiwashaAu endeleeni kufumania
Huwezi kufunda kilichooza. Ukiondoka tu harufu inaendelea... mbona juzi tu hapa walikuwa kwenye semina ya muda mrefu tu Arusha wakifundwa ... Ha ha ha! Hii nchi hii; as long as CCM is in power tusitegemee lolote kwa aina hizi za viongozi.
Pana mabus zamani yaliitwa
Zafanana mmiliki alizichakata sana hadi hakuona jipya kwenye michezo hii ya kupakana majasho . Akayaita mabasi yake zafanana
Saz
Sasa hapo kosa ni la mwanamke tena? 🤣🤣🤣 Mnajuaje Kama mume alikuwa anampiga na kumdharau kisa michepuko? Ukute ndoa ilimshinda alichokuwa anahitaji ni ushahidi tu Ili adai talaka.
Halafu afike eneo la tukio mume amfokee, 🤣🤣🤣 Labda angekuwa hajitaki.
OkMchipuko
Afu nilitoka kumwangalia jana
Haha nimekutana nao sana wanawake bandits, ila ni mwepesi sana kumsoma mtuNachelea kusema kuwa bado hujakutana na aina za wanawake mkuu, utashangaa
Umeoa?Haha nimekutana nao sana wanawake bandits, ila ni mwepesi sana kumsoma mtu
Mwanamke akishakuwa na elements za ubabe , off the trash she goes
Mfano; Wewe ni mkuu katika Taasisi au kiongozi katika nyanja yeyote ila then wale walioko chini yako unawatongoza wakati unajua kabisa umeshaoa
Kuna kiongozi mwingine aliwahi kuibiwa bastola gesti!
Miaka 19 ya ndoaUmeoa?
Sasa off she goes zinatoka wapi mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] au anaeda kupumzika anarudi?Miaka 19 ya ndoa
Waheshimiwa wengi wakiwa dodomaMi habari za michepuko naona ushamba tu kuna vitu unaweza kuvunga tu ili uwe na maendeleo makubwa kujipa heshima katika jamii.
Mfano; Wewe ni mkuu katika Taasisi au kiongozi katika nyanja yeyote ila then wale walioko chini yako unawatongoza wakati unajua kabisa umeshaoa ...Hii haileta picha duniani kuna vingi tunatamani hata maendeleo ila tupo limited hata ukiwa na wanawake wote na pesa kama Musk bado utafuta tena hii ni asili ya binadamu.
Binadamu aliyecontrol tamaa zake na kuridhika ni mbora zaidi ,Greedy ni kawaid ila unaweza kulind heshima.
Baadhi ya viongi wanaiba mabillion ila wakija kustaafu au kufa unasikia familia zao zinapata tabu mara mikopo bank
.Kumbe zile pesa ni kubudumia mahawara na kuwapa jeuri na life style ya hanasa ..
Imagine dunia ya sasa ukiwa na watoto wako na ndoa basi ushamaliza kweny ishu to ya mapenzi then angalau maendeleo ya wanao sijui mambo madogo kama hayo unakuja kuvunja ndoa then watoto wanateseka kwa ujinga ambao unaweza kuepuka.
Kumbe hukunielewa ,Sasa off she goes zinatoka wapi mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] au anaeda kupumzika anarudi?
Nakuja niharakishe maintanance yake,usije pitwa na Mambo mazuri hahahHuko usije....
PM iko under Maintenance kwa muda[emoji1787]