Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange apata ajali akiendesha gari
Mimi wangu yupo kaburini, nina uhakika yupo kaburini. No pressure no stress. Yaani ukiwa na mme mpenda mademu full stress. Bora mwanamke mwenzangu sasa atakuwa na uhakika mme wake yupo wapi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alafu atapata ambae hapendi mademu sasa ausio???
 
Ni kweli[emoji23][emoji23][emoji23] ila sasa unashangaa majimama yanatafuta viben ten
Hao nao mala ya tu.Kiben ten cha nini sasa mwisho upate Ukimwi upate stress tena.Mimi nilivyofiwa nilijiinspire kwa mke wa Thomas Sankara, na kwa mke wa Patrice Lumumba. Wale walifiwa wakiwa wabichi kabisa ila walilea watoto wao bila kuolewa tena.
 
Back
Top Bottom