Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Bora ujue lipo kaburini,kuliko kusikia lipo gest na mwanamke .Mwanamke mshindi rambirambi, mirathi pesa za kazini,na kama ana kazi nzuri wala hatalimiss atalea wanae vizuri kabisa.Kama namuona mke wa waziri anavyo tabasamu😂😂