Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange apata ajali akiendesha gari
Wahuni sio watu wema.
Wahuni ni Kama walevi au mateja, wao kwa wao hawadhuriani. Sasa wewe muungwana ingia kumi na nane zao ndio utajua maharage nikitoweo.
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip I. Mpango akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange leo tarehe 29 Aprili 2023 wakati alipofika hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Benjamin Mkapa kumjulia hali baada ya kupata ajali ya gari.

Dkt. Dugange alipata ajali usiku wa tarehe 26 Aprili 2023 wakati akiendesha gari yake binafsi Jijini Dodoma ambapo kwa sasa anaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Benjamini Mkapa.

My note:-
Tuamini yupi gari lake au la Serikali?
Gari binafsi Haina plate number 😂, huu ni mzaha kwenye Mali za ummaa.

Huyu ni Malaya na ana ukimwi Mungu 😤 amlaani
 
Huko UK, miaka ya zamani kidogo, Waziri mdogo, alikutwa na kashfa ya uzinzi, yaani kutembea na hawara zake, UK PM wa wakati huo, alimteua mtu mwingine right away, hata hajamjulisha na kazi yake ikawa ndio basi, Waziri mdogo akawa kajifukuzisha kazi kwa aibu kubwa.

Waziri mzima unakosa maadili au unashindwa kuficha siri zako tena nyeti kabisa, sasa siri za serikali si ndio hata hawezi kuficha hata kidogo, mimi ningekuwa Mh. Rais nachagua tu mtu mwingine paaap, ndio imeisha hiyo.
Tuache huu ujinga kwani mtu akiwa Naibu waziri ndo hali mbususu... Iyo ni ajili kazini Tuache kumsagia kunguni
 
Huko unakoishi hakuna wanaume?

USSR
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe huna maajabu, haya niache nibaki huku huku niliko.

Mwanaume huyo nitafutie wee.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe huna maajabu, haya niache nibaki huku huku niliko.

Mwanaume huyo nitafutie wee.
Ndugu zangu wote walisha sema uzuri na upore vitakupa mme tu , Tulia

USSR
Screenshot_20230427-144440.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km wanaume wenyewe ndo hawa wanaokimbia fumanizi na kutoa uhai wa wengine huku yeye akiwa majeruhi hapanaa kwa kweliii.

Siweziiiiiiii
Nani anakukimbia ?

USSR
 
Back
Top Bottom